Nafasi za Kazi Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Unguja

General Description

Source: Utumishi Zanzibar



Release date: 2018-07-06



Duty Station: Zanzibar
18692 visits!... Deadline: 2018-07-11 15:30:00

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

KITUO CHA KULELEA WATOTO MAZIZINI

1. Wapishi Daraja la III “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu ya Cheti katika fani ya Upishi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Walezi Daraja la III “Nafasi 5” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari.

3. Msaidizi Mkuu wa Dahalia Daraja la III “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Social Work kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

KITUO CHA WAZEE WELEZO

4. Wapishi Daraja la III “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu ya Cheti katika fani ya Upishi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5. Wahudumu Daraja la III “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari.

6. Walinzi Daraja la III “Nafasi tatu” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari. 
• Awe amemaliza elimu ya Sekondari.
Awe amepata mafunzo ya Ulinzi (Mgambo au JKU au JKT.





KITUO CHA WAZEE SEBLENI

7. Wapishi Daraja la III “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu ya Cheti katika fani ya Upishi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

8. Wahudumu Daraja la III “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari.

9. Walinzi Daraja la III “Nafasi tatu” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari. 
• Awe amemaliza elimu ya Sekondari.
Awe amepata mafunzo ya Ulinzi (Mgambo au JKU au JKT.

10. Afisa Miradi Daraja la II “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Uchumi/Mipango kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

11. Wahudumu Daraja la III “Nafasi 2” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari

12. Mpishi Daraja la III “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu ya Cheti katika fani ya Upishi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

13. Afisa Ukaguzi vyama vya ushirika Daraja la II “Nafasi 2” Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Uhasibu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.






14. Dereva Daraja la III “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Cheti cha Udereva na leseni hai class C kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU, 
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo 
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
g) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 11 Julai, 2018 wakati wa saa za kazi.



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
538

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
340

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
312

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
364

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
334

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
250

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
188

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili