Nafasi za Masomo Belgium (Zanzibar Applicants)
General Description
Source: MOEZ
Release date: 2019-01-29
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI YA MASOMO SHAHADA YA PILI NCHINI UBELGIJI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020.
BODI YA MAENDELEO YA KIISLAMU YA CHUO KIKUU CHA “ANTWERP” WATADHAMINI KILA KITU KWA MUDA WA MWAKA MMOJA WA MASOMO KATIKA FANI ZIFUATAZO:-
• Development Evaluation and Management;
• Governance and Development; and
• Globalization and Development.
JINSI YA KUFANYA MAOMBI:-
Waombaji wanatakiwa kufanya maombi kwa njia ya mtandao kupitia tovuti hii:-
www.uantwerpen.be/development-studies
Kopi ya fomu ya maombi iwasilishwe Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar katika Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia chumba namba 57, Mazizini.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI HAYO NI TAREHE 1 April, 2019.