Nafasi za masomo Chuo (Al-azhar) Misri

General Description

Source: Ministry of Education Zanzibar



Release date: 2017-05-05


Download


Duty Station:
6294 visits!... Deadline: 2017-06-01 00:00:00

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR
INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO SHAHADA YA KWANZA NA YA
PILI NCHINI MISRI KATIKA CHUO CHA “AL-AZHAR” KWA MWAKA
WA MASOMO 2017/18.
SIFA ZA MUOMBAJI
SHAHADA YA PILI

  • Awe Mzanzibar.
  • Awe amemaliza Shahada ya kwanza
  • Awe na afya nzuri
  • Awe hajajiunga na chuo chengine.

SHAHADA YA KWANZA

  • Awe mzanzibar.
  • Awe amemaliza kidato cha sita au Stashahada.
  • Awe na afya nzuri.
  • Awe hajajiunga na chuo chengine.

NJIA YA KUFANYA MAOMBI
Waombaji wote wanatakiwa kuwasilisha maombi yao Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar, wakiambatanisha vitu vifuatavyo:-

  • Kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari
  • Vivuli vya vyeti vya masomo
  • Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
  • Kivuli cha pasi ya kusafiria
  • Fomu ya uchunguzi wa afya.(medical report)

FANI ZINAZOTOLEWA
Ni za Art na Science
NJIA YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
S.L.P 394
Zanzibar.
IMPITIE
Mkuu wa Kitengo Cha uratibu Elimu ya Juu, Sayansi na Teknologia,
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
Zanzibar.
Lugha itakayotumika katika masomo hayo ni lugha ya Kiarabu
Kwa maelezo zaidi fika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mazizini chumba namba 57
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI HAYO NI TAREHE 1/6/2017



Download

Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
623

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
407

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
384

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
436

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
392

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
326

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
241

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili