SMZ Scholarships 2019/2020

General Description

Source: ZHELB



Release date: 2019-07-23



Duty Station: Tanzania
9085 visits!... Deadline: 2019-08-16 15:30:00

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR (BMEJZ) INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA SHAHADA YA KWANZA KUPITIA UFADHILI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA MASOMO 2019/20.

WAOMBAJI WA NAFASI HIZO WANATAKIWA WAWE NA SIFA ZIFUATAZO:

1. WAWE WAMEMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2019 NA KUPATA UFAULU WA DARAJA LA KWANZA KATIKA MASOMO YA SAYANSI BIASHARA NA SANAA .

2. WAWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 22 IFIKAPO SEPTEMBA 2019.

3. WAWE NA AFYA NJEMA.

4. WAWE WAZANZIBARI.

 

BARUA ZA MAOMBI ZIAMBATANISHWE PAMOJA NA:

1. VIVULI VYA VYETI VYA MASOMO NA MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA .

2. KIVULI CHA KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI.

3. KIVULI CHA CHETI CHA KUZALIWA.

 

FOMU ZA MAOMBI ZINAPATIKANA KATIKA OFISI ZA BODI YA MIKOPO YA ELIMUYA JUU ZANZIBAR ZILIZOPO VUGA UNGUJA NA CHAKECHAKE PEMBA.


MUDA WA MWISHO WA KUREJESHA FOMU ZA MAOMBI ZILIZOJAZWA KIKAMILIFU NI TAREHE 16 AGOSTI, 2019.
 

 

INASISITIZWA KWAMBA :

NAFASI HIZO ZA UFADHILI WA MASOMO ZA SMZ ZINATOLEWA KWA VYUO VYA NDANI YA TANZANIA PEKEE.

 

IMETOLEWA NA MKURUGENZI,
BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR.



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
623

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
407

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
384

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
435

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
391

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
325

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
240

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili