Scholarship Degree Sudan
General Description
NAFASI ZA MASOMO SUDAN 2018/2019
Munadhamat Al-da'awah Al-Islamia kwa kushirikiana na International University of Africa tunawatangazia nafasi za masomo ngazi ya Degree katika kozi mbali mbali zikiwemo udaktari ,uuguzi, ufamasia ,uhandisi, uchumi, sheria na sharia ,na lugha ya kiarabu nk, katika Chuo kikuu cha International University of Africa Khartoum ,Sudan. Chuo kinatoa huduma ya chakula, malazi na masomo bure kwa wote watakao chaguliwa.
FOMU ZA MAOMBI zinapatikana kwa gharama ya shilingi 20,000/= tu kuanzia tarehe 19/02/2018 hadi tarehe 02/03/2018 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 6:40 mchana kila siku isipokuwa siku za Ijumaa na Jumapili kwenye vituo vifuatavyo:
- DAR ES SALAAM: Katika ofisi za Munazzamat Al-daawa makao makuu Mikocheni ('B" mtaa wa Warioba Nyumba No 36.
- MWANZA: Msikiti wa Ijumaa uliopo Mtaa wa Sheikh Amiin.
- IRINGA : Shule ya Ummul salama iliyopo Old Dodoma Road Gangiloga 4. MTWARA MJWI: MIDECE jirani na uwanja wa mashujaa.
- ZANZIBAR: kituo cha kusaidia mayatima, Mpendae kwa Mchina mwisho, mkabala na skuli ya kijangwani
- DODOMA: msikiti mpya uliopo ,llazo maghribi mwisho wa kituo cha daladala za ( Swaswa)
- MBEYA: Msikiti mpya uliopo Iwambi JB mkabala na kituo cha mafuta cha Petro Africa. SIFA ZA MUOMBAJI :
Awe amemaliza kidato cha sita au thanawi na kufaulu.
Awe amefaulu kidato cha nne au thanawi kwa kupata daraja la kwanza, au la pili (Division I au Il).
Muombaji lazima alete vyeti halisi (Original Academic Certificates) o NB: sikuya kurudisha fomu ya maombi ndio siku ya kufanya Interview.
Kwa maelezo zaidi tembelea ofisi zetu au piga simu
DAR ES SALAAM simu namba 0767806662/0656610000/0785805108.
DODOMA: 0716624411 MBEYA : 0717180229
ZANZIBAR: 0777/715-415835,0773369898 MTWARA : 0654847787,
MVVANZA :0688304852, 07823 434 IRINGA :0784/715-448484