Scholarships Alexandria University Egypt
General Description
Source: Ministry of education Zanzibar
Release date: 2017-05-12
MASTERS AND PhD SCHOLARSHIPS ALEXANDRIA UNIVERSITY EGYPT
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO ZILIZOTOLEWA NA CHUO CHA ALEXANDRIA - NCHI YA MISRI NGAZI YA SHAHADA YA PILI (MASTERS) NA YA TATU (PhD) KWA MWAKA 2017-18.
MUDA WA MASOMO
Waombaji wa Masters watasoma kwa miaka mitatu na wa PhD ni miaka mitano.
WATAKAOBAHATIKA KUPATA NAFASI;
Watasoma kwa kutumia lugha ya Kiarabu na English.
NJIA ZA KUFANYA MAOMBI;
Waombaji wote wanatakiwa kufanya maombi yao kupitia mtandao http://nbs.alexu.edu.eg
Mwisho wa kutuma Maombi hayo si zaidi ya tarehe 31 Mei 2017