Scholarships Qatar for Zanzibar
General Description
Source: MOEZ
Release date: 2019-01-09
Duty Station: Qatar
12556 visits!... Deadline: 2019-04-01 15:30:00
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO NCHINI QATAR KATIKA CHUO CHA HAMAD BIN KHALIFA.
TAFADHALI FUNGUA TOVUTI YA CHUO CHA HAMAD BIN KHALIFA
https://hbku.edu.qa/en/admissions?
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA KITENGO CHA URATIBU WA ELIMU YA JUU SAYANSI NA TEKNOLOJIA CHUMBA NAMBA 57.