Scholarships Undergraduate Al Azhar Misri
General Description
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO NCHINI MISRI KATIKA CHUO KIKUU CHA AL – AZHAR MWAKA WA MASOMO 2020/2021.
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar inatangaza nafasi za masomo zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Al – Azhar Nchini Misri katika fani mbalimbali kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza na kuendelea kwa mwaka wa masomo 2020/2021.
Masomo yatadhaminiwa:
• Gharama za Ada
• Tiketi ya kwenda na kurudi
• Makaazi na kadhalika.