Usaili Wizara ya Afya Zanzibar
General Description

WITO KWA USAILI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Afya Unguja kufika katika usaili utakaofanyika Chuo cha Taifa SUZA – Tawi la Nkrumah Beit el Raas siku ya Jumatatu ya tarehe 11 Septemba, 2017 saa 2:00 za asubuhi
Pia wasailiwa wanaombwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.
Wasailiwa wenyewe ni:
NAFASI YA KAZI YA AFISA MIONZI MSAIDIZI DARAJA LA III
NAM. JINA KAMILI
1 BASHA MAKAME KHAMIS
NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA DARAJA LA II
NAM. JINA KAMILI
1 HAMID MOHAMMED SULEIMAN
NAFASI YA KAZI YA AUGUZI VIJIJINI (PHN'B' DARAJA LA III
NAM. JINA KAMILI
1 LAYLA KHAMIS YUSSUF
2 ASHA RASHID SALUM
NAFASI YA KAZI YA AFISA AFYA MAZINGIRA DAARAJA LA II
NAM. JINA KAMILI
1 ZELDAT MASOUD KHAMIS
2 SULEIMAN HABIBU ISSA
3 REHEMA ABDALLA ALLY
4 MOH'D ABDULRAHMAN BAKAR
5 KHADIJA OTHMAN JAMBAE
6 MARYAM AMOUR KHAMIS
7 SULEIMAN JUMA SULEIMAN
8 AMINA MAKAME HAJI
9 HAWA MASOUD IBRAHIM
The Rubik's Cube is the most popular puzzle on the World. Learn how to solve the cube with the easiest method.


Others
Promoted Ads
Other products
