TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI
General Description
KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA.
(TATIZO LA BAWASIRI.)
*BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI*
BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE
?Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.
AINA ZA BAWASIRI??
1. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa.
2.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu.
??HATUA YA KWANZA Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
??HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
??HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
??HATUA YA NNEH
ii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI
(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
(8) Kunywa pombe
(9) kula sana nyama nyekundu
(10) Vidonda vya tumbo
(11) ngiri
(12) Kula sana pilipili
(13 ) kunyanyua vitu vizito
ATHARI ZA BAWASIRI
??Upungufu wa damu mwilini
??Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
?? kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
??kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
??kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
??Kupata tatizo la kisaikolojia
?? Kutopata ujauzito
?? Mimba kuharibika
NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
??Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
?? kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
??Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
??Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
?? Acha kunywa pombe
?? Punguza kula nyama nyekundu
?? Punguza matumizi ya pili pili.
?? Jitibie vidonda vya tumbo
?DALILI ZA BAWASIRI
??kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
??kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
??kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
??kupata kinyesi chenye damu
??kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
?MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
bawasiri hutibika kwa dawa asili tu MFANO MZURI WA DAWA ASILI NI DAWA IITWAYO "Bawasiri fluid na Bawasiri powder" hii inatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo
Dr.Liwaya
Tiba asili
Tanzania
+255717541527
+255684167579
mohammedliwaya@gmail.com
Others
- Ask Your Self These ten (10) questions
- Jinsi ya kupika Badia (Bagia) za Muhogo
- Dalili za ugonjwa wa moyo ambazo simu yako inaweza kugundua
- Itambue Historia ya Saa
- Jiulize Masuala Haya 10
- 101 Simple Truth for a Better Life
- The Millionaire Fastlane
- Rich Dad, Poor Dad
- The Book: The Most Important Thing
- The Body Keeps Score
- Zanzibar Beaches You Must Visit 2023
- Art of Happiness
- The Millionaire Next Door
- Aina Nne za Watu
- Namna Mazoezi Yanavyosaidia Kuimarisha Tendo La Ndoa
- Admission Leera Schools
- Ongeza Spidi ya Computer na Ufanisi wake kwa SSD
- Vidonda vya Tumbo, Chanzo, Dalili na Tiba Asili za Vidonda vya Tumbo
- Ten Not to miss places to visit in Zanzibar.
- Dawa ya Tonsilis (Matonsisi)
- Jinsi ya ku bold, italic na Kupiga mchoro kwenye Whatsapp
- Dawa ya Bawasiri
- Dawa ya Jino, Tiba Asilia ya Jino linalouma
- Raudhat Medical Clinic
- Jinsi ya kuchagua kompyuta kwa matummizi mbali mbali
- Dawa za asili za pumu
- Dawa za asili zinazootesha nywele na kuzuia upara
- Mahanjumati Makange ya Kuku
- CHOSEN RECIPES EGG CHOP(MINCED MEAT EGG CHOP)