KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA

General Description

Source: Zenjishoppazz



Release date: 2022-12-18



Duty Station: MAKKA
20324 visits!... Deadline: 2025-07-31 00:00:00

KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA

 

 

Je unataka kwenda hija au una mtu ambae anataka kwenda hija?

 

Karibu katika taasisi yako pendwa ya ALMUMTAAZ HAJJ GROUP ni taasisi zowefu kwa masuala ya usafirishaji wa mahujaji nchini Tanzania yaani bara na visiwani.

 

Pia kampuni yetu  inatowa ofa kwa kila mtu mmoja atakae leta Hujaji tutampatia dola 50, watu 10 dola 600 na watu 15 ofa ya safari ya Hija.

 

Karibu uungane nasi kwa safari nzuri za Hija na Umra, kwani hudama zetu ni nzuri, murua na nafuu.

 

Unaweza kuwasiliana nasi popote pale Tanzania na tukaweza kukuhudumia kwa wepesi na haraka inshaa Allah



Share via Whatsapp

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili