NAFASI YA KAZI AFISA MAABARA VIMELEA

General Description

Source: ZanAjira



Release date: 2022-12-08



Duty Station: Zanzibar
11165 visits!... Deadline: 2022-12-22 03:33:00

POSTAFISA MAABARA VIMELEA (MICROBIOLOGY LABORATORY SCIENTIST) DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA UCHUMI WA BULUU NA UVUVI
APPLICATION TIMELINE:From: 08-12-2022 To: 22-12-2022
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kufanya uchunguzi wa vimelea katika sampuli mbalimbali kwa kuzingatia mifumo na viwango vya udhibiti ubora.
  2. Kuhakiki na kutoa mapendekezo ya matokeo ya uchunguzi wa vimelea (microbes).
  3. Kufanya na kuhakiki matokeo ya uchunguzi wa sampuli za kuhakiki ubora wa uchunguzi wa vimelea (Proficiency test samples, intra- and inter-laboratory comparison test).
  4. Kusaidia kufanya utafiti unaohusu vimelea na kubuni njia mbalimbali za utafiti wa vimelea vya baharini.
  5. Kusimamia na kusaidia kutunza zana za uchunguzi katika maabara ya Taasisi.
  6. Kutunza kumbukumbu za nyaraka na vifaa vya maabara.
  7. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
  2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Microbiology / au Applied Microbiology” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  3. Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
  4. Ujuzi juu ya vimelea vya Baharini (Marine Microbiology) ni sifa ya ziada
REMUNERATIONZPSG-09

Kwa maombi unaweza kugusa link  https://bit.ly/3YBDlg1

 

© 2022, Tume ya Utumishi Serikalini, Developed & Maintained by eGAZ. All rights reserved.



Share via Whatsapp

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili