TANGAZO LA NAFASI YA KAZI AFISA MIAMBA MAJI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST

General Description

Source: ZanAjiraRelease date: 2023-03-10Duty Station: Zanzibar
6235 visits!... Deadline: 2023-03-25 00:19:00

POSTAFISA MIAMBA MAJI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA MAJI NISHATI NA MADINI
APPLICATION TIMELINE:From: 09-03-2023 To: 25-03-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Kuratibu na kusaidia shughuli zote zinazohusu uhifadhi na ulinzi wa rasilimali maji

Kufuatilia maendeleo ya rasilimali maji pamoja na kusimamia miradi ili kuhakikisha inafuata kanuni za mazingira endelevu pamoja na kudhibiti uchafuzi wa maji.

Kufuatilia usimamizi wa masuala ya mazingira yanayohusiana na Rasilimali Maji

Kuratibu ujumuishaji wa masuala ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika usimamizi wa rasilimali maji.

Kuchambua   Sera na Sheria za Sekta mbali mbali zinazohusiana na uhifadhi wa rasilimali maji pamoja na kudhibiti uchafuzi wa maji na athari zake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46)

Awe mwenye Shahada ya Kwanza katika masomo ya Hydrology, Hydrogiology, Civil Engineering, Water Engineering au Water Management kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapindizi ya Zanzibar.

REMUNERATIONZPSG - 08

 

KWA MAOMBI BONYEZA HAPAShare via Whatsapp

Promoted Ads

No preview available
Sport fishing boat
408

Visits

TZS 23,000,000
No preview available
Abaya baibui
1609

Visits

TZS 75,000
No preview available
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE
8707

Visits

Negotiation
No preview available
TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI
7418

Visits

Negotiation
No preview available
MADIRA YA MSOMALI
7814

Visits

TZS 20,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2023 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili