Nafasi ya Kazi Afisa Utafiti Daraja La I Katika Fani Ya Sayansi Ya Uvuvi (Fisheries Sciences) - Ungu

General Description

Source: ZanAjiraRelease date: 2023-03-10Duty Station: Zanzibar
18935 visits!... Deadline: 2023-03-25 00:29:00

POSTAFISA UTAFITI DARAJA LA I KATIKA FANI YA SAYANSI YA UVUVI (FISHERIES SCIENCES) - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA UCHUMI WA BULUU NA UVUVI
APPLICATION TIMELINE:From: 09-03-2023 To: 25-03-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Kufanya tafiti zinazohusiana na Uvuvi na Sayansi ya Uvuvi

Kuandaa maandiko ya awali (proposal) ya tafiti zinazohusiana na uvuvi na sayansi ya uvuvi

Kuandaa bajeti za tafiti zinazohusiana na sayansi ya uvuvi

Kukusanya taarifa na sampuli za kitafiti za Uvuvi na Sayansi ya uvuvi

Kuandaa ripoti za tafiti anazofanya na zinazofanyika katika Taasisi katika fani yake

Kutoa mrejesho wa tafiti kwa wadau wa uvuvi pamoja na kutoa elimu kwa wavuvi

Kufanya machapisho ya tafiti anazozifanya kwenye Journals zinazotambulika (Peer Review Journals).

Kuandaa ripoti za Utekelezaji wa kazi za kitafiti ikiwemo ripoti ya robo, nusu na ya mwaka

Kuishauri Taasisi juu ya tafiti za Uvuvi na Sayaynsi ya Uvuvi

Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Awe Mzanzibari.

Awe amehitimu Shahada ya Pili katika fani za Fisheries Sciences, Marine Biology, Marine Science, Fisheries and Aquaculture kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Awe na ujuzi wa kufanya Tafiti zinazohusiana na Uvuvi na Sayansi ya Uvuvi

Uzoefu wa kazi pamoja na machapisho za Tafiti katika Journal zinazotambulika (Peer Review Journals) ni sifa za ziada.

Ujuzi wa kuogelea na kuzamia (diving) ni sifa za ziada.

REMUNERATIONZPSF - 10

 Share via Whatsapp

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2023 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili