Nafasi ya Kazi ya Fundi Umeme

General Description

Source: ZanAjira



Release date: 2023-04-28



Duty Station: TANZANIA
6046 visits!... Deadline: 2023-04-30 03:51:00

POSTFUNDI UMEME DARAJA LA III - PEMBA - 1 POST
EMPLOYEROFISI YA RAIS - IKULU
APPLICATION TIMELINE:From: 14-04-2023 To: 30-04-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kutia fitting mpya za wire wa umeme.
  2. Kuzifanyia ukarabati fitting kongwe.
  3. Kufunga main switch circuit braker swich socket na vifaa vyengine vya umeme.
  4. Kufanya marekebisho yanayohitajika pale panapotokezea maharibiko yaliyosababishwa na hitilafu la umeme.
  5. Kufanya kazi nyengine yeyote inayohusiana na masuala ya matengenezo au marekebisho ya umeme.
  6. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita (46)
  2. Awe mwenye Stashahada au ya ufundi umeme kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATIONZPSD - 03

 

 

KWA MAOMBI GUSA HAPA



Share via Whatsapp

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili