Nafasi za Kazi Uhandisi Umwagiliaji

General Description

Source: Zan Ajira Portal



Release date: 2023-07-04



Duty Station: Tanzania
298 visits!... Deadline: 2023-07-14 20:44:00

POSTMUHANDISI UMWAGILIAJI DARAJA LA II - UNGUJA - 3 POST
EMPLOYERWIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO
APPLICATION TIMELINE:From: 28-06-2023 To: 14-07-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kutoa ushauri na kuonesha kwa vitendo mbinu za uendeshaji wa kilimo cha kisasa kwa njia ya umwagiliaji maji.
  2. Kuhimiza na kushajihisha wakulima wa kilimo cha kisasa katika mabonde ya umwagiliaji maji
  3. Kusimamia matumizi mazuri ya maji na pembejeo nyengine katika maeneo ya ukulima wa umwagiliaji
  4. Kusaidia kuandaa taarifa za maendeleo ya kilimo cha umwagiliaji maji vijijini na mabonde ya umwagiliaji maji.
  5. Kusaidia Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  6. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
  2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Water Resources and Irrigation engineering au Civil and Irrigation Engineering au Agricultural Enginering kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONZPSG - 08



Share via Whatsapp

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili