Nafasi ya kazi Mkaguzi wa Ndani Daraja la II-PEMBA - 2 POST

General Description

Source: Zan AjiraRelease date: 2024-03-31Duty Station: Pemba
2355 visits!... Deadline: 2024-04-05 15:30:00

POSTMkaguzi wa Ndani Daraja la II-PEMBA - 2 POST
EMPLOYERSHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC)
APPLICATION TIMELINE:From: 28-03-2024 To: 05-04-2024
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
 1. Kutayarisha na kurikodi karatasi za Ukaguzi.
 2. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka
 3. Kukagua mapato na matumizi ya Fedha za Shirika.
 4. Kuhakikisha Sheria, Kanuni na Taratibu za masualanya usimamizi wa fedha zinafuatwa katika utekelezaji wa kazi zaShirika
 5. Kuhakikisha udhibiti na matumizi mazuri ya fedha na mali za Shirika
 6. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa  kazi

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
 • Awe Mzanzibari
 • Asiwe muajiriwa wa Serikali.
 • Awe amemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu, Uongozi wa Fedha au fani nyengine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 • Awe na umri usiozidi miaka 45
 • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATIONZPSI-06

Click Here to Apply for the PostShare via Whatsapp

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili