Maelezo ya Bidhaa
DAWA ASILI KWA MATIBABU YA ACID REFLUX (GERD)
Bei
656,198,441 TZS
Maelezo kiufupi :
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) Dr.MapandePandex herbal clinic Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Dar es salaam
Jina la duka/Muuzaji:
Pandex Herbal Clinic
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
DAWA ASILI KWA MATIBABU YA PINGILI ZA UTI WA MGONGO (DISC HERNIATION)
Imeangaliwa
2024-11-21 13:18:32Maelezo Zaidi
DAWA ASILI KWA MATIBABU YA ACID REFLUX (GERD)
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)
Dr.Mapande
Pandex herbal clinic
Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.
Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.
DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:
1. Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3. Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4. Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5. Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi.
6. Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7. Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8. Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9. Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10. Kupata kikokozi kisichoisha
11. Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12. Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13. Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14. Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15. Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16. Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17. Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18. Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19. Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20. Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21. Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.Kichefuchefu na kutapika.
23. Maumivu ya Masikio
24. Kupata ganzi kwenye vidole vya miguu au mkono.
BAADHI YA MADHARA YA ACID REFLUX
1. Saratani/Kansa ya koo
2. Kupungua kwa ukubwa wa koo/Kuziba kwa koo(EUSOPHAGEAL STRICTURE)
3. Wasiwasi/Khofu isiyokuwa na kikomo.
4. Kukosa amani ya kuishi duniani na kuona dunia nzima imekutenga
5. Kupata Bawasiri kutokana na kujisaidia choo Kigumu
6. Kupoteza kuwezo wa kushiriki tendo (Wanawake & wanaume)
7. Mwili kudhoofika na kukonda kupita kiasi. Hasa pale Acid reflux hupelekea kupotea hamu ya kula.
8. Kunenepa kupita kiasi. Hasa pale Acid hupelekea upate njaa mara kwa mara na kupelekea kula mara kwa mara.
9. Kupata Fangasi wa mdomoni na katika mfumo mzima wa chakula
10.?? Kupata ngiri ya Kifua /Hiatal hernia.
MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1. Uvutaji wa sigara
2. Unywaji wa pombe
3. Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4. Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5. Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6. Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN
7. Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Hiatal hernia)
8. Kuwa Mjamzito
9. Uzito kupita kiasi (Obesity)
10. Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.
MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:
1?. MATIBABU YA KISASA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.
2?. MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.
-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea hutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.
-Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni PEPTICOL POWDER,PEPTIC ULCERS+
Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili na mengine kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako