Maelezo ya Bidhaa
Milango ya vioo, madirisha na makabati
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
Tunatengeneza milango, madirisha makabati na masanduku ya Aluminium kwa bei nafuu. Tupo temeke dar es salaam, lakini tunachkua order popote ulipo. Wasiliana nasi ili uweze kupata bidhaa za uhakika kwa bei nafuu.
Karibu Albey Aluminium uweze kupendezesha nyumba yako au biashara yako.
Kung'ara....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Temeke Dsm
Jina la duka/Muuzaji:
Albey Aluminium
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Milango ya vioo, madirisha na makabati
Tunatengeneza milango, madirisha makabati na masanduku ya Aluminium kwa bei nafuu. Tupo temeke dar es salaam, lakini tunachkua order popote ulipo. Wasiliana nasi ili uweze kupata bidhaa za uhakika kwa bei nafuu. Karibu Albey Aluminium uweze kupendezesha nyumba yako au biashara yako. Kung'ara kwako ndio lengo letu
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako