Maelezo ya Bidhaa
House plan
Bei
210,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Ni ramani ya nyumba yenye urefu wamita 14.5 na upana mita 13
Na ni nyumba yenye kukidhi mahitaj muhimu ya mteja na yenye kujumuisha vitu vifuatavyo
-vyumba vinne(4) ikiwemo vitatu(3) ni vyumb vya kawaida na kimoj (1) ni master room(chumba chenye choo ndan yake)
-ukimbi mkubwa wa (sitting....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Kwerekwe kwa kipogo zanzibar
Jina la duka/Muuzaji:
Mnara
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
House plan
Ni ramani ya nyumba yenye urefu wamita 14.5 na upana mita 13 Na ni nyumba yenye kukidhi mahitaj muhimu ya mteja na yenye kujumuisha vitu vifuatavyo -vyumba vinne(4) ikiwemo vitatu(3) ni vyumb vya kawaida na kimoj (1) ni master room(chumba chenye choo ndan yake) -ukimbi mkubwa wa (sitting room) -ukimbi mdogo wa kula (dinning room) -jiko ( kitchen) -store - choo 1 cha jumla jamala(public toilet) Pia kwa kujal mahitaj ya mteja tuna design nyumb kwa mujibu ya mahitaj yake. Nyote mnakaribishwa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako