Maelezo ya Bidhaa
Mabati
Bei
14,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Bati za Kigae zinapatika kwa wingi na Zenye kudumu zaidi ya miaka 50 warranty bila kupauka wala kupata kutu. Kuna aina tatu za Bati -:1.) Made in China - bei yake 14,000/=2.) Made in South Africa - bei yake 18,000/=3.) Made in Switzerland - bei yake ni 22,000/= Tunapatikana Kariakoo....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Kariakoo Gerezani
Jina la duka/Muuzaji:
Kipata Machinery
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Mabati
Bati za Kigae zinapatika kwa wingi na Zenye kudumu zaidi ya miaka 50 warranty bila kupauka wala kupata kutu.
Kuna aina tatu za Bati -:
1.) Made in China - bei yake 14,000/=
2.) Made in South Africa - bei yake 18,000/=
3.) Made in Switzerland - bei yake ni 22,000/=
Tunapatikana Kariakoo gerezani mtaa wa Swahili na Kipata.
Mnakaribishwa.
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako