Maelezo ya Bidhaa
CLEASING IN 9 DAYS PROGRAMS (C9
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
CLEASING IN 9 DAYS PROGRAM ni program maalum yenye mchanganyiko wa virutubisho vya aina 5 ambavyo ni maalum na salama kwa afya ya watumiaji na vilivyoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa lengo la kusaidia kusafisha mwili kwa kuondoa sumu taka,mafuta mabaya na uwanga uliohifadhiwa mwilini na....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
GONGO STORE,ZANZIBAR
Jina la duka/Muuzaji:
Salim Weight Management Consultancy Services (SAWEMACOS)
Mawasiliano:


Zilizotembelewa hivi punde
DAWA YA ASILI YA KUTIBU NGIRI/HERNIA BILA UPASUAJI
Imeangaliwa
2025-04-05 19:50:19Maelezo Zaidi
CLEASING IN 9 DAYS PROGRAMS (C9
CLEASING IN 9 DAYS PROGRAM ni program maalum yenye mchanganyiko wa virutubisho vya aina 5 ambavyo ni maalum na salama kwa afya ya watumiaji na vilivyoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa lengo la kusaidia kusafisha mwili kwa kuondoa sumu taka,mafuta mabaya na uwanga uliohifadhiwa mwilini na kukupa matokea ya kupunguza uzito,kuondoa kitambi au kitumbo riba na kujenga misuli ya mwili.
Program inaweza kutumika kwa jinsia zote ila isipokuwa kwa Wanawake wajawazito,Wanawake wanaonyonyesha na watoto wadogo wenye umri chini ya miaka 18
Watu wengi waliotumia bidhaa hii wamepata matokeo ya kupungua uzito wa kilo 5 mpaka kilo 12 kwa kulingana umakini wa kufuata muongozo wa matumizi
Program hii imethibitishwa na mamlaka mbali mbali za ubora duniani hivyo inatumika kimataifa kwa zaidi ya nchi 165 duniani,na kwa upande wa Tanzania imethibitishwa na TFDA naTBS.
Pia tunatoa muongozo mzuri wa mazoezi mepesi ya kupunguza uzito na kuondoa kitambi kupitia video maalum kwa wateja wetu,kutoa msaada wa mazoezi pale unapohitajika na kumsimamia wakati wote wa program ili aweze kutimiza lengo lake la kupungua uzito au kuondoa kitambi
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako