Maelezo ya Bidhaa
Nyumba
Bei
60,000,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Nyumba ya vyumba vitatu choo sehemu ya kulia na ukumbi, ipo Limbani kilimo barabarani ipo na eneo la kuzungushia ukuta ni sehemu nzuri pia ya biashara ukipendelea kutoa frem nje nauza kwa bei ya kutupa kabisa milioni sitini tu haina dalali mimi ndio mmiliki. Karibu sana....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mtumba
Inapatikana wapi:
Wete Pemba Limbani
Jina la duka/Muuzaji:
Salim
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
DAWA YA ASILI YA KUTIBU PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
Imeangaliwa
2024-09-14 23:26:34DAWA YA ASILI YA KUTIBU NGIRI/HERNIA BILA UPASUAJI
Imeangaliwa
2024-09-14 23:20:51Maelezo Zaidi
Nyumba
Nyumba ya vyumba vitatu choo sehemu ya kulia na ukumbi, ipo Limbani kilimo barabarani ipo na eneo la kuzungushia ukuta ni sehemu nzuri pia ya biashara ukipendelea kutoa frem nje nauza kwa bei ya kutupa kabisa milioni sitini tu haina dalali mimi ndio mmiliki. Karibu sana
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako