Maelezo ya Bidhaa
Dawa ya Uzazi & Chango
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI ?Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
DAR ES SALAAM
Jina la duka/Muuzaji:
THABIT HERBS
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Dawa ya Uzazi & Chango
CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI
?Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.
DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
?Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-??
1?Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi).
2? Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
3? Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi.
4?Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi.
5?Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
6?Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
7? Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
8?? Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
9?? Kupata uvimbe kwenye kizazi
?Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
1?1? Maumivu makali chini ya kitovu/kwenye kinena.
1?2?Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa.
MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE
??Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
??Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.
??Kuingia na kutoka kwa mimba
??Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni.
??Kuwa na uke mdogo sana.
??Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
??Kupata uvimbe kwenye kizazi.
??Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi.
TIBA YA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
Ni vyema sana kumweleza Dr. Dalili zote ambazo mwanamke hujihisi kisha daktari mzoefu atajua tatizo lako.
Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.
Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.
zipo dawa za asili zinazoaminika kutibu matatizo ya Chango na uzazi kama vile dawa iitwayo "UZAZI & CHANGO POWDER" ni dawa ambayo hutibu changamoto za uzazi na chango zifuatazo??
UZAZI & CHANGO POWDER
??Ni dawa maalumu inayotokana na mchanganyiko wa miti dawa mbali mbali maalumu kwaajili ya kutatua changamoto na matatizo yanayopelekea mwanamke kushindwa kupata ujauzito,Dawa hii hufanyakazi zifuatazo?????
? Hutibu chango sugu linaloweza kusababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito.
? Hurekebisha mzunguko/siku za mwanamke na kuzifanya ziwe katika mpangilio wa sawa.
? Huweka sawa mfumo wa hormone.
? Huondosha maumivu makali wakati wa hedhi
? Huondosha sababu zinazopelekea mimba kutoka/kuporomoka
? Huzibua mirija ya uzazi(follopian tubes)
? Hurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke.
? Hupevusha mayai ambayo hushindwa kupevuka.
Huna tena sababu ya kuteseka wala kuhangaika tena huku na kule kutokana na Matatizo ya uzazi, *UZAZI & CHANGO POWDER*
Ni suluhisho kwa Matatizo hayo Biidhnillaah.
Dr.Mapande
Tiba asili
Tanzania??
+255764516995
+255656198441
thabitsayd@gmail.com
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako