Maelezo ya Bidhaa

Tiba Asilia ya Vidonda vya tumbo

Imetembelewa mara
5552

Bei

Maelewano

Maelezo kiufupi :

VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS) Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Dar es salaam

Jina la duka/Muuzaji:

Pandex herbal

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
Tiba Asilia ya Vidonda vya tumbo

Imeangaliwa

2024-07-24 21:44:22
TZS Bei Maelewano
No preview available
Dawa ya Asili kwa Vidonda vya Tumbo

Imeangaliwa

2024-07-24 21:43:47
TZS 150,000
No preview available
Mapazia

Imeangaliwa

2024-07-24 21:43:07
TZS 30,000
No preview available
Ramani za nyumba

Imeangaliwa

2024-07-24 21:42:59
TZS 230,000
No preview available
Banda Linauzwa Vyumba vitatu Jiko choo

Imeangaliwa

2024-07-24 21:40:03
TZS 16,000,000
No preview available
Zanzibar form two examination past papers mathematics

Imeangaliwa

2024-07-24 21:39:12
TZS 10,000
No preview available
Asali mbichi safi kutoka tabora

Imeangaliwa

2024-07-24 21:38:35
TZS 12,000
No preview available
Suzuki Escudo Inauzwa

Imeangaliwa

2024-07-24 21:37:29
TZS 13,500,000

Maelezo Zaidi

Tiba Asilia ya Vidonda vya tumbo

VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO

 

VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)

 

Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta za tumbo.

 

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito. nk

 

AINA YA VIDONDA VYA TUMBO.

 

Kuna aina tatu ya vidonda vya tumbo

 

*      GASTRIC ULCERS

 

 Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya tumbo,kwenye kuta za tumbo.

 

*      ESOPHAGEAL ULCERS

 

Hivi  ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya koo la chakula,kwenye kuta za koo la chakula.

 

*      DUODENAL ULCERS

 

Ni vidonda ambavyo katika sehemu ya juu ya utumbo mdogo uitwao duodenum

 

 

Peptic ulcers in the stomach and duodenal

 

 

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

 

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

 

Ø  Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)

Ø  Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin(bayer), (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)

Ø  Msongo  mawazo  (stress)

Ø  Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi

Ø  Kunywa pombe na vinywaji vikali kupitiliza.

Ø  Uvutaji wa sigara.

Ø  Kuto kula mlo kwa mpangilio maalumu

Ø  Kansa ya tumbo

 

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vina dalili kama;

 

Ø  Kupata maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula

Ø  Kupatwa na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo

Ø  Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa

Ø  Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu

Ø  Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi cheenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu

Ø  Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito

Ø  Kushindwa kupumua vizuri

 

JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO

 

Ø  Kunywa maji mengi

Ø  Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo

Ø  Punguza (balance) kiwango cha lehemu (choresterol) mwilini

Ø  Usivute sigara

Ø  Punguza au acha kunywa pombe

Ø  Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

Ø  Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

 

Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

 

MATIBABU

 

Kwa matatizo ya vidonda vya tumbo,watu wengi wamekuwa hakihangaika sana kupata matibabu sahihi na badala yake wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza matatizo ya vidonda vya tumbo na si kutibu tatizo moja kwa moja.

 

Zipo dawa asili ambazo hutibu matatizo ya vidonda vya tumbo kwa haraka sana na tiba ya kudumu,mfano kuna dawa ya asili iitwayo PEPTIC ULCERS +,dawa hii hutibu kwa haraka sana matatizo ya vidonda vya tumbo.

 

 

 

Kwa mahitaji ya dawa ya kutibu matatizo ya vidonda vya tumbo kwa haraka na kudumu,wasiliana nami kwa;

 

 

 

Dr.Liwaya

 

Tiba asili

Tanzania

 

Whatsap; +255 717 541 527

 

Calls;          +255 717 541 527/+255 684 167 579

Email; mohammedliwaya@gmail.com

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Pandex herbal

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English