Dr.Liwaya

Tiba asili

Tanzania

 

+255755162724

+255755162724

mohammedliwaya@gmail.com

" property="og:description" />

Maelezo ya Bidhaa

TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Imetembelewa mara
10688

Bei

Maelewano

Maelezo kiufupi :

KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA.(TATIZO LA BAWASIRI.) *BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI* BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE?Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.    AINA ZA....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Ilala boma,Dar es salaam

Jina la duka/Muuzaji:

Pandex herbs

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Imeangaliwa

2024-09-13 08:28:35
TZS Bei Maelewano
No preview available
Ramani ya Nyumba

Imeangaliwa

2024-09-13 08:26:12
TZS 360
No preview available
Pressure cooker pasi na lakuchemshia maji

Imeangaliwa

2024-09-13 08:21:30
TZS 130,000
No preview available
Nguo za watoto bei poa

Imeangaliwa

2024-09-13 08:20:34
TZS 35,000
No preview available
Ramani ya nyumba vyumba vinne simple

Imeangaliwa

2024-09-13 08:20:32
TZS 180,000
No preview available
Mapazia Na vitambaa vya mapazia quality bei poa

Imeangaliwa

2024-09-13 08:20:28
TZS Bei Maelewano
No preview available
Miswala ya kuegemea

Imeangaliwa

2024-09-13 08:20:13
TZS 30,000
No preview available
Smart phone

Imeangaliwa

2024-09-13 08:19:23
TZS 170,000

Maelezo Zaidi

TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI

KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA.

(TATIZO LA BAWASIRI.)

 

*BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI*

 

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE

?Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

 

 

  AINA ZA BAWASIRI??

1. BAWASIRI YA NJE

Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa.

 

2.BAWASIRI YA NDANI

Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu.

 

??HATUA YA KWANZA Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.

??HATUA YA PILI

Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia

??HATUA YA TATU

Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe

??HATUA YA NNEH

ii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

 

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

 

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva

(2) Tatizo sugu la kuharisha

(3) Ujauzito

(4) Uzito wa mwili kupita kiasi

(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa  (kulawitiwa)

(6) Kupata haja kubwa ngumu

(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.

(8) Kunywa pombe

(9) kula sana nyama nyekundu

(10) Vidonda vya tumbo

(11) ngiri

(12) Kula sana pilipili

(13 ) kunyanyua vitu vizito

                 

ATHARI ZA BAWASIRI

??Upungufu wa damu mwilini

??Kutokwa na kinyesi bila kijitambua

?? kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

??kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)

??kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

??Kupata tatizo la kisaikolojia

??  Kutopata ujauzito

?? Mimba kuharibika

 

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

??Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi

?? kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku

??Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)

??Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

??  Acha kunywa pombe

??  Punguza kula nyama nyekundu

??  Punguza matumizi ya pili pili.

??  Jitibie vidonda vya tumbo

 

?DALILI ZA BAWASIRI

??kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

??kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa

??kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

??kupata kinyesi chenye damu

??kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

 

?MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI

bawasiri hutibika kwa dawa asili tu MFANO MZURI WA DAWA ASILI NI DAWA IITWAYO "Bawasiri fluid na Bawasiri powder" hii  inatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo

 

Dr.Liwaya

Tiba asili

Tanzania

 

+255755162724

+255755162724

mohammedliwaya@gmail.com

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Pandex herbs

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English