Maelezo ya Bidhaa

TIBA YA NGIRI SUGU NA CHANGO KWA WANAWAKE

Imetembelewa mara
19257

Bei

Maelewano

Maelezo kiufupi :

NGIRI (HERNIA) AU CHANGO YA UZAZI. Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Dar es salaam

Jina la duka/Muuzaji:

Pandex Herbal Clinic

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
TIBA YA NGIRI SUGU NA CHANGO KWA WANAWAKE

Imeangaliwa

2024-04-20 01:03:29
TZS Bei Maelewano
No preview available
DAWA ASILIA YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKA ZAIDI

Imeangaliwa

2024-04-20 00:54:49
TZS Bei Maelewano
No preview available
Jipatie kanzu za kipekee kwa bei poa

Imeangaliwa

2024-04-20 00:51:02
TZS Bei Maelewano
No preview available
Ramani na ujenzi wa nyumba

Imeangaliwa

2024-04-20 00:48:10
TZS 300,000
No preview available
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE

Imeangaliwa

2024-04-20 00:38:39
TZS Bei Maelewano
No preview available
Ramani vyumba 5 bedrooms house plan

Imeangaliwa

2024-04-20 00:35:59
TZS 220,000
No preview available
Laptop HP Elitebook 8460p

Imeangaliwa

2024-04-20 00:33:42
TZS 550,000
No preview available
hp pavillion ram 4gb,hdd1tb ,core i5

Imeangaliwa

2024-04-20 00:22:23
TZS 600,000

Maelezo Zaidi

TIBA YA NGIRI SUGU NA CHANGO KWA WANAWAKE

NGIRI (HERNIA) AU CHANGO YA UZAZI. Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo. Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, korodani na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri. Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya: ?Tumboni ?Eneo la kinena ?Eneo la paja kwa juu ?Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma ?Kifuani Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote AINA ZA NGIRI Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza. ?Ngiri maji Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele) ? Ngiri kavu (Hernia) Hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume. ?Ngiri ya kwenye kifua Hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’ ?Ngiri ya tumbo Hujulikana pia kama ‘Abdominal Hernia’ ? Ngiri ya kwenye kitovu Hujulikana pia kama ‘Umbilical Hernia”. ?Ngiri ya sehemu ya haja kubwa Hujulikana pia kama ‘Anal Hernia’ DALILI ZAKE KWA MWANAUME: DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu. Nazo ndizo hizi zifuatazo? 1?Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu. 2?Kupiga mingurumo tumboni. 3?Kujaa gesi tumboni. 4?Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu. 5?Kupata haja ngumu kama ya mbuzi. 6?Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa. 7?Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara. 8?Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho. 9?Nuru ya macho hupotea taratibu. 10?Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika. 11?Huvutwa makende au upande mmoja maumivu. 12?Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu. 13?Maumivu makali ya mgongo au kiuno 14?Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU •Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:?????? 1? Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito) 2?Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati 3?Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo kama ya mtoto mdogo 4? Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar 5?Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama. 6?Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,kama vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk 7?Upungufu wa nguvu za kiume. Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume MWANAMKE MWENYE CHANGO LA UZAZI ANA DALILI ZIFUATAZO :- ?Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia Katika siku zake za hedhi ?Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa ?Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika ?Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi ?Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi. ?Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi. ?Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke. ?Kuchukia kushiriki tendo la ndoa ?Kupata uvimbe kwenye kizazi ?Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi. MADHARA YAKE KWA MWANAMKE ?Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba ?Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa ?Kuingia na kutoka Kwa mimba ?Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni ?Kuwa na uke mdogo sana MADHARA KWA MWANAUME ?Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba ? Kiwango kinachozalishwa cha megu ni kidogo mno ?Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa ?Kusimama na kusinyaa kwa uume TIBA YA CHANGO LA UZAZI Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia. Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi/Nguri hutibiwa na miti shamba/Dawa za asili/mimea. Zipo dawa asili zenye uwezo wa kuondosha kabisa tatzo la ngiri bila upasuaji kama vile kuna dawa iitwayo NGIRI SUGU,ni dawa ambayo hutibu ngiriChango na kuiondosha kabsa bila upasuaji kwa muda mfupi kabsa Kwa mahitaji ya dawa ya ngiri Wasiliana nami DR.Liwaya Tiba Asilia Tanzania +255755162724 +255717541527 muhammadliwaya@gmail.com.

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Pandex Herbal Clinic

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English