Maelezo ya Bidhaa

Dawa ya asili ya moyo/moyo kutanuka/kutanuka kwa misuli ya moyo/shambulio la moyo/moyo kufeli

Imetembelewa mara
7086

Bei

12 TZS

Maelezo kiufupi :

                         MAGONJWA YA MOYO, CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO.  MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUTANUKA KWA MOYO.  Magonjwa ya moyo ni....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Morogoro Mjini

Jina la duka/Muuzaji:

The Cotex medicine

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
Nyumba ya ghorofa tatu inauzwa (Four floors house for sale)

Imeangaliwa

2024-11-21 15:20:48
TZS 2,238,000,000
No preview available
DAWA YA UTI WA MGONGO

Imeangaliwa

2024-11-21 15:20:35
TZS Bei Maelewano
No preview available
House

Imeangaliwa

2024-11-21 15:20:05
TZS Bei Maelewano
No preview available
Viatu vya kike new fashion Clowsed

Imeangaliwa

2024-11-21 15:19:23
TZS 30,000
No preview available
Mapazia new model

Imeangaliwa

2024-11-21 15:19:07
TZS Bei Maelewano
No preview available
Perfumes na sprays nzur na za kudumu

Imeangaliwa

2024-11-21 15:15:50
TZS 15,000
No preview available
Miswala prayer mats

Imeangaliwa

2024-11-21 15:12:29
TZS 18,000

Maelezo Zaidi

Dawa ya asili ya moyo/moyo kutanuka/kutanuka kwa misuli ya moyo/shambulio la moyo/moyo kufeli

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

MAGONJWA YA MOYO, CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO. 

 

MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUTANUKA KWA MOYO. 

 

Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla(Structural and vessels disease). 

 

Kukitokea shida yeyote katika moja ya vitu hivyo, mtu huanza kuhisi dalili mbaya kwenye mwili wake na atakapopima hubainika na tatizo la moyo. 

 

Magonjwa ya moyo ni mengi sana ila naomba tuzungumzie machache ambayo naweza kukusaidia. 

 

1.Kupanda kwa shinikizo la juu la damu(high blood pressure) 

 

2.Moyo kutanuka(cardiomegaly) 

 

3.Ugonjwa wa misuli ya moyo(cardiomyopathy). 

 

4.Ugonjwa wa mishipa ipelekayo damu kwenye moyo (Coronary artery diseases)

 

 5.Moyo kushindwa kufanya kazi yake (Heart failure). 

 

6.Shambulio la moyo (Heart attack). 

 

7.Kuvurugika kwa mfumo wa umeme na mapigo ya moyo mwilini. 

 

Magonjwa ya moyo ni sababu kuu ya vifo vingi duniani kote, hii ni kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) huku sababu za magonjwa haya zikitajwa kuwa ni pamoja na; 

 

1.Ulaji usiofaa, ulaji usiofata taratibu za kitabibu ikiwa ni pamoja na kula chakula kingi baada ya saa kumi na moja jioni au kula chakula kingi katika mlo mmoja kuliko kiwango kinachohitajika kwa siku (RDA). 

 

2.Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi, ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi au chumvi nyingi katika mlo wako. 

 

3.Kutokula mboga mboga za majani pamoja na matunda ambapo kitaalamu inashauriwa nusu ya kila mlo wako iwe mboga mboga za majani pamoja na matunda. 

 

Kuepuka utaratibu huo ndio miongoni mwa sababu za kuibuka unene, kitambi, uzito mkubwa, bawasiri, kukosa choo, kisukari, presha ya kupanda na kushuka pamoja na magonjwa ya moyo. 

 

Magonjwa hayo yanapoibuka, kila mgonjwa hujaribu kutumia njia awezayo ili kurejesha afya yake au ya ndugu yake ili kukabiliana na magonjwa haya. Wagonjwa wa moyo hujaribu kufanya jitihada mbalimbali ili kuufanya moyo wake uweze kufanya kazi ila mara zote ukweli ni kuwa magonjwa hayo huendelea kuwatesa na kuwaua wengi wao kila mwaka. 

 

Pamoja na kuwa wagonjwa wa moyo hutumia dawa kama Dilamend 6.25mg, Ascard tablets-75 MG, Atorvastatin tablets, Vacodil, Safetelmi na nyinginezo ambapo kwa ujumla zinatibu condition/dalili za moyo na kupunguza athari kwenye moyo huku tatizo likiendelea kuwepo na mgonjwa atatakiwa kuendelea kutumia dawa ili kufanya moyo wake uendelee kufanya kazi kitu ambacho huongeza severity ya ugonjwa na huweza kusababisha hatari kubwa sana huko mbeleni na hii ni kwa mujibu wa Dr.Batmanghelidj katika kitabu chake cha mwaka 2003. 

 

Mbali na hayo mtaalamu huyo alibainisha kuwa, licha ya kuonekana zikitumiwa kwenye matatizo tajwa hapo juu, huweza pia kusababisha moja ya madhara yafuatayo (side effects); 

 

1.Kuziba kwa ateri za moyo(Coronary artery) na ateri ziendazo kwenye ubongo(Corotid artery). 

 

2.Shambulio la moyo (heart attack). 

 

3.Mishtuko midogo midogo au mikubwa inayopelekea kuzimia. 

 

4.Ugonjwa wa kibofu cha mkojo.

 

5.Kiharusi. 

 

6.Kupungua kwa nguvu za kiume kwa upande wa wanaume. 

 

7.Kuharibiwa kwa ubongo na matatizo ya akili kama vile kupoteza kumbukumbu  (Alzheimer). 

 

Kwa upande wa tiba mbadala, Iko mimea-tiba yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu na kumaliza tatizo la moyo kabisa na kurejesha afya yako au mgonjwa wako.

Mimea hii huweza kumaliza tatizo na kukuacha ukiwa mwenye afya (Cure and Rehabilitation). 

 

Dawa hii, Black powerful powder ni dawa yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu hali zote zinazopelekea moyo kutanuka (CARDIOMEGALY) ikiwa ni pamoja na??; 

 

1. Kuziba kwa vishipa vya damu mwilini kutokana na uwingi wa mafuta (Coronary artery disease) ambao hupelekea shambulio la moyo (Heart attack). 

 

2. Ugonjwa wa misuli ya moyo(Cardiomyopathy) hasaa zaidi Hypetrophic cardiomyopathy na Dilated cardiomyopathy. 

 

3.Ujaaji wa maji kwenye moyo (Pericardial effusion). 

 

4.Ongezeko la presha mwilini(Hypertension). 

 

5.Kuvurugika kwa mpangilio wa mapigo ya moyo mwilini(Arrhythmia), mapigo ya moyo kuwa chini sana(Bradycardia) au juu sana(Tachycardia). 

 

6.Kuvurugika kwa mfumo wa umeme mwilini. 

 

7.Mapigo ya moyo kupiga kwa kasi na bila mpangilio (Atrial fibrillation). 

 

8.Moyo kushindwa kufanya kazi vizuri (heart failure ) or ejection fraction to be lower than 50 or greater than 75. 

 

Magonjwa ya moyo duniani kote yanasababisha vifo takribani millioni 18 kwa mwaka, huku nchini kwetu matatizo haya yakiendelea kuwatesa watu kila kukicha. 

 

Kwa upande wa nchi yetu Tanzania, taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete inapokea kadirio la wagonjwa 300-400 kwa siku na hii ni kwa mujibu wa ripoti za hivi karibuni kutoka taasisi hiyo. Hii inaonyesha kiasi gani maradhi haya ni hatari sana na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa kukabiliana na magonjwa haya. 

 

 

Dawa hii ya asili inayo uwezo wa ajabu kabisa kwa kutibu maradhi ya moyo kutanuka na hali tajwa hapo juu kwa ufanisi mkubwa sana na kwa muda mfupi (huchukua kadirio la siku 6 hadi 10). 

 

Ni muda mchache sana kulinganisha na ukubwa wa maradhi ya moyo, ufanisi wake ni mkubwa mwilini na huweza kutoa matokeo ya haraka sana kuliko matarajio.It's best natural medicine ever. 

 

Dawa hii(Black powerful powder) husaidia kuondoa kabisa dalili ziletwazo na magonjwa ya moyo ikiwa ni pamoja na; 

 

1.Maumivu ya kifua mithili ya  chembe ya moyo/chembe ya moyo. 

 

 

 

2.Maumivu ya kifua  kuzunguka hadi kwenye bega la kushoto. 

 

3. Kuvimba kwa miguu na mikono. 

 

4. Mapigo ya moyo kuwa ya chini sana au kasi sana. 

 

5.Moyo kwenda mbio sana na kukosa pumzi hasaa zaidi unapotembea au kufanya shughuli zako ndogo ndogo/moyo kudunda kama mtu apiga dogoro kwa chini hasaa wakati wa kulala.

 

6. Mwili kuishiwa nguvu. 

 

7.Kupata kizunguzungu na kuzimia. 

 

8.Kupata ganzi kwenye miguu na mikono.n

.k 9.Kutokwa na jasho jingi sana. Nikushauri tu ukiweza kunitembelea morogoro karibu tushauriane au ukipenda pia naweza kukutembelea na kumuona mgonjwa wako popote ulipo Tanzania. Ukishindwa na hilo waweza kuagiziwa dawa, kwa pamoja tutashauriana kuhusu afya ya mgonjwa wako kupitia program yetu ya Cardiac Rehabilitation Services. Ukiwa na moja ya maradhi hayo waweza wasiliana nami, naamini kwa pamoja tukishirikiana afya ya moyo itarejea kwa idhini ya muumba. Kwa ushauri au msaada wa kimatibabu wasiliana nami kwa namba; Sms/whatsaap/call: 0678640098. Sood bingwa Napatikana morogoro mjini. The Cotex medicine The centre for Cure Coaching and Rehabilitation.

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka The Cotex medicine

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

IMEMALIZA

Laptop Acer Aspire R11
Zimebaki 0

TZS 650,000

Maelezo

Mtumba

SELI

Laptop HP Elitebook
Zimebaki 1

TZS 550,000

Maelezo

Mpya

SELI

Saa Ya mkononi (Wrist
Zimebaki 20

TZS 25,000

Maelezo

Mpya

SELI

Samsung J106 mini pro
Zimebaki 12

TZS 130,000

Maelezo

Mpya

SELI

Samsung galaxy j110
Zimebaki 10

TZS 168,000

Maelezo

Mpya

SELI

Samsung galaxy j200
Zimebaki 7

TZS 200,000

Maelezo

Mpya

SELI

Samsung Galaxy 385
Zimebaki 11

TZS 235,000

Maelezo

Mpya

SELI

Sony Xperia Z1 16GB
Zimebaki 1

TZS 300,000

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English