Maelezo ya Bidhaa
Pure Natural Honey
Bei
13,000 TZS
Maelezo kiufupi :
?NI ILE ASALI SAFI SALAMA NA BORA KWA AFYA YAKO ILIYOTHIBITISHWA NA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YAAN (TFDA) ????????????
? NA IMEFANYIWA PACKEGING CHINI SHIRIKA LA VIWANDA VIDOGO VIDOGO HAPA NCHINI TANZANIA(SIDO)
?IMEANDALIWA NA REY PRODUCTS GROUP UTEMINI MKOANI SINGIDA(MJINI)
?SIFA YA....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
UDSM
Jina la duka/Muuzaji:
REY products (G)Mtoro Store
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Pure Natural Honey
?NI ILE ASALI SAFI SALAMA NA BORA KWA AFYA YAKO ILIYOTHIBITISHWA NA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YAAN (TFDA) ???????????? ? NA IMEFANYIWA PACKEGING CHINI SHIRIKA LA VIWANDA VIDOGO VIDOGO HAPA NCHINI TANZANIA(SIDO) ?IMEANDALIWA NA REY PRODUCTS GROUP UTEMINI MKOANI SINGIDA(MJINI) ?SIFA YA ASALI HII NA MAHALI INAPOPATIKANA DUNIANI KUTOKANA NA TAFITI ZILIZOFANYWA NA WATAFITI DUNIANI???????? ???? ASALI HII INAPATIKANA KATIKA VICHAKA VYA ITIGI THICKES MKOANI SINGIDA HAPA NCHINI TANZANIA PEKEE NA PIA INAPATIKANA KWENYE VICHAKA VYA JANGWA LA AFRIKA YA KASKAZINI PEKEE ? _ASALI HII HAIPATIKANI SEHEM NYINGINE YOYOTE DUNIANI ISPOKUWA HIZO MBILI TAJWA HAPO JUU NDIO MAANA IKAWA NI ASALI YA KIPEKEE PIA KUTOKANA NA AINA YA MITI YAKE KUWA NI DAWA YA MARADHI MBALI MBALI KWENYE MWILI WA BINAADAMU_ ?BEI NI ILE ILE 13000/=TSH PESA ZA KITANZANIA KWA UJAZO WA KILO MOJA 1KG ?KWA WALE JAMAA ZANGU WA JUMLA KWA SASA HAKUNA MZIGO NI MDOGO TUANGALIE SIKU ZA MBELE INSHAA ALLAH ?KWA WALE WAKAZI WA SINGIDA AU WANAOPITA SINGIDA MJINI ASALI HII INAPATIKANA OPPOSITE NA MAHALI PA KUINGILIA POLICE LINE KARIBU KABISA NA BARABARA KUU IENDAYO MWANZA KWA. MAWASILIANO???????? ???? 0754800607 ????0767367064 ?KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NIPO BWANA ASALI MWENYEWE ??? ??? ???? ???? ????? NAPATIKANA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM MLIMANI MAENEO YA MSIKITINI MSAUD. KWA MAWASILIANO NAMBA???????? ????0655198669 ???? 0758498669 ????0688498669 ???? *NYOTE MNAKARIBISHWA* ????
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako