Maelezo ya Bidhaa
DAWA ASILI YA UVIMBE KWENYE KIZAZI(fibroids)
Bei
764,516,995 TZS
Maelezo kiufupi :
TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI,SABABU, DALILI NA TIBA YAKE ASILI FIBROID NI NINI?Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
DAR ES SALAAM,TANZANIA
Jina la duka/Muuzaji:
PANDEX HERBS
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
DAWA ASILI YA UVIMBE KWENYE KIZAZI(fibroids)
TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI,SABABU, DALILI NA TIBA YAKE ASILI
FIBROID NI NINI?
Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke.
Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa kama maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’.
Hujulikana pia kama ‘leiomyoma’ katika lugha ya kidaktari. Wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 50 ndiyo wanapatwa kirahisi zaidi na ugonjwa huu.
SABABU ZA MWANAMKE KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Chanzo cha moja kwa moja cha ugonjwa huu bado hakijulikani wazi, hata hivyo baadhi ya sababu za kutokea huu uvimbe ni pamoja na;
1. ?Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini.
2.? Ujauzito.
3.? Uzito/ unene kupita kiasi.
4.? Jenetiki zisizo za kawaida.
5.? Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu.
6.? Sababu za kurithi.
7.? Lishe isiyo sawa/Lishe duni.
8.?Sumu na taka mbalimbali mwilini.
AINA ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Kuna aina kuu 3 za uvimbe kwenye kizazi kama ifuatavyo:
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3.Subserosal(nje ya kizazi)
WAFUATAO WAPO HATARINI KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI(UTERINE FIBROID)
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.Unene/uzito kupita kiasi
5.kuingia hedhi mapema
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.
DALILI ZA MWANAMKE MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI (UTERINE FIBROIDS):
1.??Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.
2. ??Maumivu makali wakati wa siku za hedhi.
3. ??Kuvimba miguu.
4. Unaweza kuhisi una ujauzito.
5. ??Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
6. ??Kuhisi kuvimbiwa.
7. ??Kupata haja ndogo kwa taabu.
8. ??Kutokwa na uchafu ukeni.
9.?? Kupata choo kigumu au kufunga choo.
10.?? Maumivu nyuma ya mgongo.
11. ??Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto.
12.?? Upungufu wa damu.
13.?? Maumivu ya kichwa.
14.?? Uzazi wa shida.
15.?? Kutopata ujauzito.
16.?? Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo.
17.?? Maumivu ya nyonga.
18.?? Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage).
19.?? Kukojoa mara kwa mara kwan uvimbe huweka mgandamizo katika kibofu cha mkojo
20.?? Hedhi zisizokuwa na mpangilio
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUPONA HARAKA UVIMBE KWENYE KIZAZI
1. ?Hakikisha una uzito sawa kila mara kulingana na urefu wako.
2. ?Kula sana mboga za kijani na matunda
3. ?Fanya mazoezi ya viungo kila mara, mara 4 mapaka 5 kwa wiki
4. ?Kunywa maji mengi kila siku lita mbili mpaka lita tatu
5. ?Kula sana vyakula vyenye nyuzi nyuzi (faiba) na punguza vyakula vyenye mafuta
6. ?Usitumie bidhaa zozote zenye kaffeina (chai ya rangi, kahawa, soda nyeusi zote nk), nyama nyekundu na vyakula vya kuchomwa au kupikwa katikati ya mafuta mengi (maandazi, chipsi, nk)
7. ?Achana kabisa na mawazo mawazo (stress) na hamaki nyingine zozote
8. ?Acha kuvuta sigara/tumbaku na vilevi vingine vyote hadi hapo utakapopona kabisa
MATIBABU/TIBA ASILI KWA UVIMBE KWENYE KIZAZI.
Tiba asili ndio njia salama na rahisi katika matibabu ya uvimbe kwenye kizazi endapo mgonjwa atafuata ushauri na matumizi sahihihi ya dawa.
Zipo dawa asili zenye ufanisi mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi, Mfano ni dawa hizo ni FIBROCYST SOLUTION nk hii ni dawa yenye uwezo mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi.
Wasiliana nami kwa Ushaur, matibabu na miongozo mbali mbali ya kitabibu:
Dr.Mapande
Tiba asili
Tanzania
+255764516995
+255656198441
thabitsayd@gmail.com
Tunapatikana Dar Es salaam, ILALA
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako