Maelezo ya Bidhaa
Bulb camera
Bei
100,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Bulb camera zenye umbo kama la bulb ya umeme::????
????
????
* Inajiwasha taa wakati wa usiku na kujizima wakati wa asubuhi/mchana yenyewe...????
????
* Unaona matukio yoote kiganjani mwako (simu) popote ulipo hata ukiwa nje ya nchi...????
????
* Inauwezo wa kumhisi mtu na kukupa taarifa/ujumbe ktk....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Mkunazini zanzibar
Jina la duka/Muuzaji:
online
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Bulb camera
Bulb camera zenye umbo kama la bulb ya umeme::???? ???? ???? * Inajiwasha taa wakati wa usiku na kujizima wakati wa asubuhi/mchana yenyewe...???? ???? * Unaona matukio yoote kiganjani mwako (simu) popote ulipo hata ukiwa nje ya nchi...???? ???? * Inauwezo wa kumhisi mtu na kukupa taarifa/ujumbe ktk simu yako ili uchukue hatua sahihi kwa ulinzi wa mali zako na familia yako...???? ???? * Inauwezo wa kuchukua matukio, sauti na kuhifadhi ktk memory card...???? ???? * Unauwezo wa kusikia sauti live bila chenga popote ulipo hata nje ya nchi ktk simu yako...???? ?? *** Bei yetu 100,000tsh kwa moja***... KARIBUNI... Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi...????
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako