Maelezo ya Bidhaa
DAWA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
BAWASIRI IMEGAWANYIKA KWENYE NGAZI 4 ZIFUATAZO:
Ngazi ya I: Kuna vivimbe vidogo, mara nyingi ndani ya kuta za mkundu. havionekani.
Ngazi ya II: Bawasiri ngazi ya II ni kubwa kuliko ngazi ya I, lakini pia ubakia ndani ya mkundu. Vinaweza kusukumwa nje kipindi kinyesi kinapopita, lakini hurudi bila....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Dar es salaam
Jina la duka/Muuzaji:
Afya Kweli
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
Ramani vyumba vinne simple (Simple 4 bedrooms house plan)
Imeangaliwa
2024-10-12 13:39:36Maelezo Zaidi
DAWA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI IMEGAWANYIKA KWENYE NGAZI 4 ZIFUATAZO: Ngazi ya I: Kuna vivimbe vidogo, mara nyingi ndani ya kuta za mkundu. havionekani. Ngazi ya II: Bawasiri ngazi ya II ni kubwa kuliko ngazi ya I, lakini pia ubakia ndani ya mkundu. Vinaweza kusukumwa nje kipindi kinyesi kinapopita, lakini hurudi bila kusaidiwa. Ngazi ya III: Bawasiri hii pia hufahamika kama prolapsed hemorrhoids, na huonekana nje ya mkundu. Mtu huhisi vivimbe hivi kuning’inia kutoka kwenye puru, lakini vinaweza kurudishwa ndani. Ngazi ya IV: Vivimbe hivi haviwezi kurudishwa ndani na huitaji matibabu. Ni vikubwa na hubakia nje ya mkundu. Pata dozi ya bawasiri leo bila upasuaji.
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako