Maelezo ya Bidhaa

Chango/chango kwa akina mama/tumbo la uzazi/tumbo la hedhi/maumivu ya tumbo wa hedhi/period/kukosa p

Imetembelewa mara
1879

Bei

65,000 TZS

Maelezo kiufupi :

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI   ?Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Dar es salaam ilala boma

Jina la duka/Muuzaji:

Pandex herbal clinic

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
DAWA YA KUREFUSHA NA KUNENEPEAHA UUME

Imeangaliwa

2024-11-21 14:25:38
TZS Bei Maelewano
No preview available
Nyumba ya ghorofa tatu inauzwa (Four floors house for sale)

Imeangaliwa

2024-11-21 14:23:24
TZS 2,238,000,000
No preview available
Mapazia

Imeangaliwa

2024-11-21 14:23:17
TZS 30,000
No preview available
Madirisha na milango ya Welding

Imeangaliwa

2024-11-21 14:23:09
TZS Bei Maelewano
No preview available
Asali mbichi safi kutoka tabora

Imeangaliwa

2024-11-21 14:21:02
TZS 12,000
No preview available
Kitanda cha sofa

Imeangaliwa

2024-11-21 14:15:57
TZS 250,000
No preview available
Techno M5

Imeangaliwa

2024-11-21 14:12:31
TZS 100,000

Maelezo Zaidi

Chango/chango kwa akina mama/tumbo la uzazi/tumbo la hedhi/maumivu ya tumbo wa hedhi/period/kukosa p

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI

 

 

 

?Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

 

 

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE

 

 

?Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-??

 

 

1?Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi).

 

2? Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

 

3? Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi.

 

4?Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi.

 

5?Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.

 

6?Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

 

7? Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.

 

8?? Kuchukia kushiriki tendo la ndoa

 

9?? Kupata uvimbe kwenye kizazi

 

?Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.

 

1?1? Maumivu makali chini ya kitovu/kwenye kinena.

 

1?2?Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa.

 

 

 

MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE

 

 

??Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba

 

??Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.

 

??Kuingia na kutoka kwa mimba

 

??Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni.

 

??Kuwa na uke mdogo sana.

 

??Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

 

??Kupata uvimbe kwenye kizazi.

 

??Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi.

 

 

 

 

TIBA YA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE

 

 

Ni vyema sana kumweleza Dr. Dalili zote ambazo mwanamke hujihisi kisha daktari mzoefu atajua tatizo lako.

 

Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.

 

Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.

 

 

zipo dawa za asili zinazoaminika kutibu matatizo ya Chango na uzazi kama vile dawa iitwayo UZAZI & CHANGO POWDER ni dawa ambayo hutibu changamoto za uzazi na chango zifuatazo??

 

UZAZI & CHANGO POWDER

 

??Ni dawa maalumu inayotokana na mchanganyiko wa miti dawa mbali mbali maalumu kwaajili ya kutatua changamoto na matatizo yanayopelekea mwanamke kushindwa kupata ujauzito,Dawa hii hufanyakazi zifuatazo?????

 

 

? Hutibu chango sugu linaloweza kusababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito.

 

? Hurekebisha mzunguko/siku za mwanamke na kuzifanya ziwe katika mpangilio wa sawa.

 

? Huweka sawa mfumo wa hormone.

 

? Huondosha maumivu makali wakati wa hedhi

 

? Huondosha sababu zinazopelekea mimba kutoka/kuporomoka 

 

? Huzibua mirija ya uzazi(follopian tubes)

 

? Hurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke.

 

? Hupevusha mayai ambayo hushindwa kupevuka.

 

 

 

Huna tena sababu ya kuteseka wala kuhangaika tena huku na kule kutokana na Matatizo ya uzazi, UZAZI & CHANGO POWDER 

 

Ni suluhisho kwa Matatizo hayo Biidhnillaah.

 

 

Dr_Izack_tz

??+255752962267

 

??+255687221365

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Pandex herbal clinic

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English