Maelezo ya Bidhaa
KSA Mix Special Iftar - Futari KSA mix
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
Karibu ujipatie futari safi - vyakula mbali mbali kama vile urojo, tambi, ndizi mbichi, chapati maharage, katlesi, sambusa, kaimati, kuku, mishkaki, mikate ya ufuta, boko boko na mahanjumati mengine mengi....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Mchina Mwanzo
Jina la duka/Muuzaji:
KSA Mix
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
KSA Mix Special Iftar - Futari KSA mix
Karibu ujipatie futari safi - vyakula mbali mbali kama vile urojo, tambi, ndizi mbichi, chapati maharage, katlesi, sambusa, kaimati, kuku, mishkaki, mikate ya ufuta, boko boko na mahanjumati mengine mengi
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako