Maelezo ya Bidhaa
Ramani vyumba 5 bedrooms house plan
Bei
220,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Ramani nzuri ya nyumba vyumba vitano, in vitu kama
Vyumba vitano vya kulala
Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni
Ukumbi/sebule (Living room)
Jiko
Ukumbi wa kulia (Dining room)
Store
Sehemu Ya kuogea (Jumla)
Choo (Jumla)
Ukubwa wa....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
KIST
Jina la duka/Muuzaji:
Fahari Architects
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Ramani vyumba 5 bedrooms house plan
Ramani nzuri ya nyumba vyumba vitano, in vitu kama
- Vyumba vitano vya kulala
- Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni
- Ukumbi/sebule (Living room)
- Jiko
- Ukumbi wa kulia (Dining room)
- Store
- Sehemu Ya kuogea (Jumla)
- Choo (Jumla)
- Ukubwa wa mita 18 kwa 12
Marekebisho yanaweza yakafanyika kulingana na mahitajio yako, bei ni maelewanao.
Wasiliana nasi kupitia Whattsapp, SMS au tupigie kwa 0779133536
Karibu sana FAHARI ARCHITECTS
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako