Maelezo ya Bidhaa
DAWA ASILI KWA MVURUGIKO WA HORMONES KWA WANAWAKE
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
MVURUGIKO/KUTOKUWA SAWA MFUMO WA HORMONE KWA WANAWAKE (HORMONAL IMBALANCE):-Tatizo hili hutokea pale ambapo kuna kiasi kingi au kidogo zaidi cha hormone kupita kiasi katika mishipa ya damu.Kutokana na umuhimu wa kazi ya hormones katika mwili,mabadiliko kidogo ya hormones hupelekea madhara katika....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Dar es salaam ilala boma mtaa wa Pangani
Jina la duka/Muuzaji:
Pandex herbal clinic
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
Sabuni za maji (liquid soap) za kuogea, kufulia nakuoshea vyombo
Imeangaliwa
2024-11-21 14:59:34TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2024-11-21 14:59:07Maelezo Zaidi
DAWA ASILI KWA MVURUGIKO WA HORMONES KWA WANAWAKE
MVURUGIKO/KUTOKUWA SAWA MFUMO WA HORMONE KWA WANAWAKE (HORMONAL IMBALANCE):
-Tatizo hili hutokea pale ambapo kuna kiasi kingi au kidogo zaidi cha hormone kupita kiasi katika mishipa ya damu.Kutokana na umuhimu wa kazi ya hormones katika mwili,mabadiliko kidogo ya hormones hupelekea madhara katika mwili wote.
*HORMONES NI NINI?*
-Hormones ni Kemikali ambazo huzalishwa na Tezi katika mfumo wa Hormone.Hormones husafirishwa kwa njia ya damu kutoka kwenye Tezi mpaka kwenye viungo mbalimbali vya mwili (tissues & Organs) kwaajili ya kupeleka taarifa ya nini kifanyike kwa wakati husika.
DALILI ZA MABADILIKO YA MFUMO WA HORMONES KWA WANAWAKE:
1.?? Kukosa raha kiakili
2.??Kupata Choo kigumu au Kuharisha mara kwa mara.
3.?? Mvurugiko wa mzunguko wa hedhi.
4.?? Maumivu ya tumbo(chini ya kitovu),mgongo na kiuno wakati wa hedhi.
5.?? Kukosa/kupungua hamu ya tendo la ndoa na kupelekea kukosa ladha la tendo la ndoa
6.??Kushindwa kupata ujauzito.
7.??Kukosa usingizi.
8.?? Kupungua uzito au kuongezeka uzito kusikoeleweka.
9.??Kuota nywele mwilini kupita kiasi
10.??Miwasho kwenye Ngozi
12.?? Kuwa mchovu mara kwa mara
13.?? Kuhisi kiu mara kwa mara
14.?? Kukojoa mara kwa mara
15.?? Kuhisi njaa mara kwa mara.
16.?? Kutokwa jasho mara kwa mara.
17.?? Ngozi kuwa kavu.
SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA KUVURUGIKA KWA MFUMO WA HORMONES:
1.??Ulaji duni
2.?? Msongo wa mawazo
3.?? Kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi
4.??Kupata uvimbe kwenye Tezi ya Pituitary.
5.?? Kutanuka kwa Ovary na kuwa na vivimbe kwenye Ovary/mfuko wa mayai (PCOS).
6.??Kunyonyesha (Breastfeeding)
7.??Kutumia njia za kuzuia kuzaa kama vile vidonge(P2),kuweka vijiti nk.
8.??Kufikia umri wa kukoma kupata ujauzito (Menopause).
KWA TIBA NA USHAURI KARIBU PANDEX HERBS TZ*
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako