Maelezo ya Bidhaa

DAWA ASILIA KWA CHANGAMOTO YA BAWASIRI

Imetembelewa mara
1137

Bei

Maelewano

Maelezo kiufupi :

Bawasiri ni nini?-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.??Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Dar es salaam ilala boma mtaa wa Pangani

Jina la duka/Muuzaji:

PANDEX HERBS CLINIC

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
DAWA ASILIA KWA CHANGAMOTO YA BAWASIRI

Imeangaliwa

2024-11-21 14:52:38
TZS Bei Maelewano
No preview available
Pili pili ramuju ladha ya kipekee kwa apettite

Imeangaliwa

2024-11-21 14:52:18
TZS 2,000
No preview available
majagi

Imeangaliwa

2024-11-21 14:51:06
TZS 15,000
No preview available
Baiskeli za mtumba aina zote (used bicycles)

Imeangaliwa

2024-11-21 14:50:22
TZS Bei Maelewano
No preview available
bedsheets 4sets

Imeangaliwa

2024-11-21 14:50:21
TZS 33,000
No preview available
Sony

Imeangaliwa

2024-11-21 14:50:10
TZS 300,000
No preview available
Mafuta ya kurefusha na kunenepesha Uume

Imeangaliwa

2024-11-21 14:49:48
TZS Bei Maelewano
No preview available
Dawa ya Uzazi & Chango

Imeangaliwa

2024-11-21 14:48:53
TZS Bei Maelewano

Maelezo Zaidi

DAWA ASILIA KWA CHANGAMOTO YA BAWASIRI

Bawasiri ni nini?
-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.

??Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI:
1.?kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.?kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.?kupata kinyesi chenye damu
4.?kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
5.? Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

MADHARA/ATHARI ZA BAWASIRI:
1.??Upungufu wa damu mwilini.
2.??Kutokwa na kinyesi bila kujitambua .
3.??kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
4.??kupungukiwa nguvu za kiume.
5.??kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu.
6.??Kupata tatizo la kisaikolojia .
7.??Kutopata ujauzito.Kwasababu mwili unapata stress na kupelekea Hormonal imbalance .
8.??Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer au Circumferential Rectal tumor)
9.??Mwili kudhoofika.

MATIBABU YA UGONJWA WA BAWASIRI:
Kuna matibabu aina mbili katika kutibu ugonjwa wa Bawasiri:

1. MATIBABU YA KISASA
-Matibabu ya kisasa yanahusisha matibabu ya Hospital ambapo tiba kubwa ya Bawasiri kwa hospital ni kufanyiwa upasuaji mdogo *( minor surgery)* kwaajili ya kuondoa kinyama. Changamoto kubwa ya matibabu haya ni kwamba asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofanya upasuaj wa tatzo hili tatizo hujirudia kwasababu upasuaji huondoa athari ya tatzo na si mzizi wa tatizo yaani ni sawa na kukata mti kisha ukaacha mizizi bila shaka mti huo utachipua na kumea tena.Lakini pia Upasuaji wa Bawasiri huwa na maumivu makali sana na uponaji wa kidonda hufika mpaka miezi miwili,hali hii ya kukaa na kidonda kwa muda mrefu kunaweza kupelekea kupata Kansa ya utumbo *( Colorectal Cancer).*
2. MATIBABU KWA NJIA ASILI:
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa dawa zinazotokana na mimea dawa.Dawa hizi Hutibu Bawasiri bila kufanya upasuaji na huweza kuleta matokeo ya haraka kwa mgonjwa endapo atatumia dawa huku akijitahid kujiepusha na visababishi vyote vinavyopelekea mtu kupata Bawasiri. Zipo dawa asili nyingi na nzur sana katika kutibu Bawasiri, mfano wa dawa hizo ni  *Bawasiri Fluid* na  *Bawasiri powder*,dawa hizi zina ufanisi mkubwa katika kutibu Bawasiri endapo Mgonjwa atazingatia maelekezo.
Kwa tiba na ushauri,  wasiliana nasi ;
Pandexherbal clinic tz.
Ilala boma DSM- pangani Street. 
+255774209882

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka PANDEX HERBS CLINIC

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English