Maelezo ya Bidhaa
PEPTIC ULCERS FOR ACID REFLUX
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
ACID REFLUX/GERD ambayo ni matokeo ya kuzidi kwa kiwango cha acid/gesi tumboni hupitia ktk hatua mbalimbali ikiwa haitoweza kudhibitiwa mapema.*HATUA ZA GERD (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE):Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni kama ifuatavyo:?? A .*HATUA YA....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Dar es salaam ilala boma mtaa wa Pangani
Jina la duka/Muuzaji:
PANDEX HERBS CLINIC
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
Nyumba ya ghorofa tatu inauzwa (Four floors house for sale)
Imeangaliwa
2025-01-15 07:09:00Maelezo Zaidi
PEPTIC ULCERS FOR ACID REFLUX
ACID REFLUX/GERD ambayo ni matokeo ya kuzidi kwa kiwango cha acid/gesi tumboni hupitia ktk hatua mbalimbali ikiwa haitoweza kudhibitiwa mapema.
*HATUA ZA GERD (GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE):
Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni kama ifuatavyo:??
A .*HATUA YA KWANZA (MILD GERD).*
Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana.
*DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD GERD)*
1.?? Kiungulia
2.?? Maumivu ya kifua
3.?? Kuhisi kama kuna vitu vya kunata katika kooni
4.?? Kucheua chakula au vinywaji
? Katika Hatua hii,mtu anaweza kujitibia kwa kubadili mfumo wake wa maisha kwa kuepuka vyakula na mifumo isiyofaa kutokana na hali yake mfano ajiepushe na Caffeine, pombe,vyakula vyenye mafuta mengi nk. Lakini pia ni rahisi mgonjwa kupona akitumia dawa katika hatua hii ya awali.
B. *HATUA YA PILI YA GERD (MODERATE GERD)*
Katika hatua hii,watu wenye GERD hupatwa na dalili za GERD mara kadhaa ndani ya wiki na dalili zake hutokea mara kwa mara ukilinganisha na Hatua ya kwanza na dalili huanza kuwa kali kiasi.
*DALILI ZA GERD HATUA YA PILI (MODERATE GERD)*
1.?? Kiungulia kikali kiasi
2.?? Maumivu ya kifua
3.?? Kuhisi uteute wenye kunata kooni
4.?? Kucheua chakula au vinywaji
5.?? Moyo kupaparika(Heart palpation)
? Katika hatua hii,mtu anahitajia matibabu ya dawa pia kumshirikisha daktar kwaajili ya ushauri wa kimatibabu na dawa.
*HATUA YA TATU YA GERD (SEVERE GERD)*
Katika hatua hii,asilimia 15% ya wagonjwa waliopo katika hatua hii hupata dalili za GERD kali mara nyingi zaid kwa wiki au kila siku.
*DALILI ZA GERD HATUA YA TATU (SEVERE GERD)*
1.?? Kiungulia kikali
2.?? Kucheua sana chakula na vinywaji na wakati mwingine kucheua Acid (uchachu)
3.?? Kuvimba kwa koo(sore throat)
4.?? Kikohozi kisichoisha
5.?? Sauti ya kukwaruza
6.?? Mapigo ya moyo kwenda kasi
7.?? Wasiwasi uliopita kiasi bila sababu
8.?? Kuota ndoto za kutisha
9.?? Kichwa Kuvurugika na kuhisi kuchanganyikiwa
10.?? Kizunguzungu
11.?? Maumivu ya kichwa
12.?? Macho kupungua nguvu ya kuona
13.?? Maumivu makali ya mgongo
14.?? Mwili kudhoofika
15.?? Kuhisi dunia imekutenga
16.?? Kujisaidia choo kigumu zaidi.
? Katika hatua hii,GERD isipochukuliwa hatua basi kuna hatari ya mtu kupata matatzo makubwa zaid ya kiafya kama vile KANSA YA KOO (EUSOPHAGEAL CANCER).
*HATUA YA NNE YA GERD (REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CANCER)*
Hatua hii inawakilisha matatzo makubwa zaidi kwa GERD ya muda mrefu na inakadiriwa ya kwamba,asilimia 10% ya wagonjwa wa GERD hufikia hatua hii ikiwa GERD haijadhibitiwa kwa muda mrefu. Hatua hii mgonjwa anaweza kupata Kansa ya koo nk.
*DALILI ZA GERD HATUA YA NNE*
1.?? Kiungulia kikali
2.?? Kucheua vyakula na vinywaji
3.?? Sauti kukwaruza
4.?? Kikohozi kikali
5.?? Chakula kukwama kooni/kunasa koona wakati wa kula.
6.?? Pamoja na dalili zote zilizopo katika hatua ya 3 ya GERD.
?Katika hatua hii mgonjwa anaweza kupata changamoto kama vile *esophageal strictures*,*Barrett’s esophagus* na hata KANSA YA KOO *(esophageal cancers)*
Kwa upande wetu PANDEX HERBAL clinic tunayo dose nzuri ya kumaliza kabisa changamoto hii ya acid REFLUX iwapo muhusika atafuata muongozo wa tiba atakaoptiwa.
Dawa yetu ni PEPTIC ULCERS PLUS. Ni dawa asilia ambayo ipo ktk powder form (ungaunga), ni ya kunywa kwa kuchanganyia Kwenye maji ya uvuguvugu au unaweza kutumia Kwenye uji.
*PEPTIC ULCERS+*
Ni dawa asili iliyopo katika mfumo wa Unga(powder).Ni dawa iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu katika kutibu changamoto za vidonda vya tumbo, Acid RefluX (GERD) na Michubuko tumboni.
Dawa hii ina faida kubwa zifuatazo kwa mtumiaji:??
1.?? Inatibu Vidonda vya TUMBO (Peptic Ulcers) katika aina zake zote na dalili zake zote kama tumbo kuwaka moto,maumivu ya mgongo,kiungulia nk
2.??Ina uwezo wa kuua Bacteria wanaosababisha Vidonda vya TUMBO *(Helicopter pylori)*
3.??Ina uwezo wa kutibu ugonjwa wa kuzid kwa acid tumbon *(ACID REFLUX-GERD)* na dalili zake zote kama vile Maumivu ya mgongo,kiungulia(heartburn) nk
4.??Ina uwezo wa kutibu Michubuko tumboni *(Gastritis)* na dalili zake
5.??Dawa hii ina uwezo wa kuweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kutibu tatizo la kupata choo kigumu *(Constipation)*
*DAWA HII INA UFANISI MKUBWA SANA KATIKA KUTIBU MAGONJWA TAJWA.
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako