Maelezo ya Bidhaa

Dawa ya kutibu kiungulia sugu

Imetembelewa mara
420

Bei

50 TZS

Maelezo kiufupi :

? Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni kama ifuatavyo: A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD). Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana. DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Dar es salaam

Jina la duka/Muuzaji:

Kasudia Herbal

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
Dawa ya kutibu kiungulia sugu

Imeangaliwa

2024-09-18 18:24:05
TZS 50
No preview available
Keyboards, Adapters na Vifaa vyengine vya Computer

Imeangaliwa

2024-09-18 18:23:50
TZS Bei Maelewano
No preview available
Ramani vyumba 4 (4 bedrooms House plan)

Imeangaliwa

2024-09-18 18:21:53
TZS 200,000
No preview available
Dawa ya Asili kwa Vidonda vya Tumbo

Imeangaliwa

2024-09-18 18:20:06
TZS 150,000
No preview available
Manal Chilli

Imeangaliwa

2024-09-18 18:19:44
TZS 3,000
No preview available
Fundi taizi na makabati jikoni

Imeangaliwa

2024-09-18 18:17:38
TZS Bei Maelewano
No preview available
DAWA YA PID

Imeangaliwa

2024-09-18 18:17:27
TZS Bei Maelewano
No preview available
zulia

Imeangaliwa

2024-09-18 18:15:51
TZS 15,000

Maelezo Zaidi

Dawa ya kutibu kiungulia sugu

? Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni kama ifuatavyo: A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD). Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana. DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD GERD) 1. Kiungulia 2. Maumivu ya kifua 3. Kuhisi kama kuna vitu vya kunata katika kooni 4. Kucheua chakula au vinywaji  ? Katika Hatua hii,mtu anaweza kujitibia kwa kubadili mfumo wake wa maisha kwa kuepuka vyakula na mifumo isiyofaa kutokana na hali yake mfano ajiepushe na Caffeine, pombe,vyakula vyenye mafuta mengi nk. Lakini pia ni rahisi mgonjwa kupona akitumia dawa katika hatua hii ya awali. B. HATUA YA PILI YA GERD (MODERATE GERD) Katika hatua hii,watu wenye GERD hupatwa na dalili za GERD mara kadhaa ndani ya wiki na dalili zake hutokea mara kwa mara ukilinganisha na Hatua ya kwanza na dalili huanza kuwa kali kiasi. DALILI ZA GERD HATUA YA PILI (MODERATE GERD) 1. Kiungulia kikali kiasi 2. Maumivu ya kifua 3. Kuhisi uteute wenye kunata kooni 4. Kucheua chakula au vinywaji  5. Moyo kupaparika (Heart palpation) ? Katika hatua hii,mtu anahitajia matibabu ya dawa pia kumshirikisha daktari kwaajili ya ushauri wa kimatibabu na dawa. C. HATUA YA TATU YA GERD (SEVERE GERD) Katika hatua hii, asilimia 15% ya wagonjwa waliopo katika hatua hii hupata dalili za GERD kali mara nyingi zaid kwa wiki au kila siku. DALILI ZA GERD HATUA YA TATU (SEVERE GERD) 1. Kiungulia kikali 2. Kucheua sana chakula na vinywaji na wakati mwingine kucheua Acid (uchachu)  3. Kuvimba kwa koo(sore throat) 4. Kikohozi kisichoisha 5. Sauti ya kukwaruza 6. Mapigo ya moyo kwenda kasi  7. Wasiwasi uliopita kiasi bila sababu  8. Kuota ndoto za kutisha 9. Kichwa Kuvurugika na kuhisi kuchanganyikiwa  10. Kizunguzungu  11. Maumivu ya kichwa 12. Macho kupungua nguvu ya kuona 13. Maumivu makali ya mgongo 14. Mwili kudhoofika 15. Kuhisi dunia imekutenga 16. Kujisaidia choo kigumu zaidi. ? Katika hatua hii,GERD isipochukuliwa hatua basi kuna hatari ya mtu kupata matatzo makubwa zaid ya kiafya kama vile KANSA YA KOO (EUSOPHAGEAL CANCER). D. HATUA YA NNE YA GERD (REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CANCER) Hatua hii inawakilisha matatzo makubwa zaidi kwa GERD ya muda mrefu na inakadiriwa ya kwamba,asilimia 10% ya wagonjwa wa GERD hufikia hatua hii ikiwa GERD haijadhibitiwa kwa muda mrefu. Hatua hii mgonjwa anaweza kupata Kansa ya koo nk. DALILI ZA GERD HATUA YA NNE 1. Kiungulia kikali 2. Kucheua vyakula na vinywaji 3. Sauti kukwaruza 4. Kikohozi kikali 5. Chakula kukwama kooni/kunasa koona wakati wa kula. 6. Pamoja na dalili zote zilizopo katika hatua ya 3 ya GERD. ?Katika hatua hii mgonjwa anaweza kupata changamoto kama vile esophageal strictures, Barrett’s esophagus na hata KANSA YA KOO (esophageal cancers) Call: 0758606089

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Kasudia Herbal

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Pure Natural Honey
Zimebaki 20

TZS 13,000

Maelezo

Mpya

SELI

Asali mbichi safi
Zimebaki 21

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mafuta ya Zaituni Jumla
Zimebaki 100

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Biskuti na pipi jumla
Zimebaki 100

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Popcorn, Tomato na
Zimebaki 100

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Ubuyu, pipi, ubani,
Zimebaki 1

TZS 10,000

Maelezo

Mpya

SELI

pipi za icecream
Zimebaki 1

TZS 2,100

Maelezo

Mpya

SELI

Trevo Nutrional drink
Zimebaki 15

TZS 15,000

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English