Habari Muhimu ...timiza ndoto zako!
Samahani! Hakukupatikana matangazo ya Habari Muhimu kwa sasa tafadhali endelea kututembelea kwa nafasi za kazi, Scholarships na bidhaa mbali mbali.Karibu tena!!
1. Fumba Town
Fumba Town Je unataka nyumba ya ndoto yako ya kuishi wewe na familia yako? Basi kama ni ndio karibu tukuuzie nyumba za kisasa, na za ndoto yako ambazo zitakuwa zinaendendana na hadhi pamoja na thamani yako kwa bei nzuri ambayo utapata kilichobora. Nyumba zetu ni nzuri mno, za kisasa,....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-19
Mahali pa kazi/tukio: TANZANIA Imetembelewa mara 17234...Deadline: 2023-12-31 03:04:00
2. NAFASI YA KAZI AFISA SAYANSI YA BAHARI
POSTAFISA SAYANSI YA BAHARI DARAJA LA II - PEMBA - 2 POSTEMPLOYERWIZARA YA UCHUMI WA BULUU NA UVUVIAPPLICATION TIMELINE:From: 08-12-2022 To: 22-12-2022DUTIES AND RESPONSIBILITIESKufanya tafiti zinazohusiana na sayansi ya BahariKuandaa maandiko ya awali (proposal) za tafiti na miradi zinazohusiana....Chanzo: ZanAjira
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-19
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 2695...Deadline: 2022-12-19 12:00:00
3. NAFASI YA KAZI
POSTAFISA UTAFITI KATIKA SAYANSI YA UVUVI DARAJA LA II - PEMBA - 2 POSTEMPLOYERWIZARA YA UCHUMI WA BULUU NA UVUVIAPPLICATION TIMELINE:From: 08-12-2022 To: 22-12-2022DUTIES AND RESPONSIBILITIESKufanya tafiti zinazohusiana na Uvuvi na Sayansi ya UvuviKuandaa maandiko ya awali (proposal) ya tafiti....Chanzo: ZanAjira
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-19
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 14875...Deadline: 2022-12-22 12:00:00
4. MAMBO SABA WANAYOYAFANYA MASKINI, AMBAYO MATAJIRI HAWAYAFANYI
MAMBO 7 WANAYOYAFANYA MASKINI, AMBAYO MATAJIRI HAWAYAFANYI Je, unataka kuwa tajiri? Je, ni baadhi ya mambo yapi ambayo watu maskini hufanya ambayo yanazuia maendeleo yao? Dan anafichua baadhi ya mambo na tabia zinazowafanya watu kuendelea kuwa maskini. Ni mambo gani saba masikini, wanafanya....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-18
Mahali pa kazi/tukio: TANZANIA Imetembelewa mara 29982...Deadline: 2026-02-18 08:58:00
5. KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA
KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA Je unataka kwenda hija au una mtu ambae anataka kwenda hija? Karibu katika taasisi yako pendwa ya ALMUMTAAZ HAJJ GROUP ni taasisi zowefu kwa masuala ya usafirishaji wa mahujaji nchini Tanzania yaani bara na visiwani. Pia kampuni yetu inatowa ofa kwa....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-18
Mahali pa kazi/tukio: MAKKA Imetembelewa mara 30110...Deadline: 2025-07-31 00:00:00
6. NAMNA NZURI YA KUWEZA KUHIFADHI PESA
Je una lengo kwa mwaka 2023 la kuhifadhi pesa Zaidi katika akaunti yako ya benki au nyumbani?Kama jibu lako ni ndio, basi hongera na karibu sana tukupe somo ambalo litakusaidia sana katika kuhifadhi pesa.Ili kuweza kukusaidia kuhifadhi pesa zako ambazo zitakusaidia katika kufungua biashara au....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-11
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 31797...Deadline: 2027-12-31 06:38:00
7. NAFASI YA KAZI AFISA MAABARA VIMELEA
POSTAFISA MAABARA VIMELEA (MICROBIOLOGY LABORATORY SCIENTIST) DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POSTEMPLOYERWIZARA YA UCHUMI WA BULUU NA UVUVIAPPLICATION TIMELINE:From: 08-12-2022 To: 22-12-2022DUTIES AND RESPONSIBILITIESKufanya uchunguzi wa vimelea katika sampuli mbalimbali kwa kuzingatia mifumo na....Chanzo: ZanAjira
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12286...Deadline: 2022-12-22 03:33:00
8. MHANDISI MADINI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST
POSTMHANDISI MADINI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POSTEMPLOYERWIZARA YA MAJI NISHATI NA MADINIAPPLICATION TIMELINE:From: 02-12-2022 To: 17-12-2022DUTIES AND RESPONSIBILITIESKuratibu shughuli zote za Migodi na Madini Zanzibar ikiwa ni pamoja na uingizaji na usafirishaji wa madini nje ya nchi;Kusimamia....Chanzo: ZanAjira
Tarehe ya kutolewa: 2022-12-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 2580...Deadline: 2022-12-17 00:52:00
9. Nafasi za Kazi Muhimbili National Hospital
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIATRef.No.JA.9/259/01/A/171 20th October, 2022 VACANCY ANNOUNCEMENT (RE – ADVERTISEMENT)On behalf of Muhimbili National Hospital (MNH), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic and suitable....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2022-10-21
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 32894...Deadline: 2022-11-02 15:30:00
10. Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi
TANGAZO LA NAFASI YA KAZITume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kama ifuatavyo:-1. Muhandisi Ujenzi (Civil Engineers) Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja “Nafasi 1 Pemba”Sifa za Waombaji:? Awe ni Mzanzibari mwenye umri....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2022-10-21
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 35955...Deadline: 2022-11-04 15:30:00
Habari Muhimu
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
