Matangazo ya huduma ufundi na ujuzi

Jina (Name):

Abuu Yahya

Elimu (Qualification):

BSc in Telecom Engineering, UDSM, 2009

Uwezo(Skills):

Mwalimu wa Qur-an, A-level Mathematics, A-level Physics, A-level Chemistry, O-level Mathematics, O-level Physics, O-level Biology, O-level Chemistry,

Uzoefu(Experience):

Miaka 3

Maelezo kiufupi:

Competent in Mathematics, Physics, IT and Chemistry can do Biology and English

Phone 1:

0655063601

Phone 2:

0

Jina (Name):

Eng: Magambo

Elimu (Qualification):

BSC in Mechanical Engineering UDSM (Present)

Uwezo(Skills):

Mwalimu wa Qur-an, A-level Mathematics, A-level Physics, O-level Mathematics, O-level Physics,

Uzoefu(Experience):

Miaka 3

Maelezo kiufupi:

Nafundisha Physics na Mathematics O level na A level nikiwa kama mwalimu binafsi (Private tutor) wa majumbani (Nitakufuata ulipo) au kama mwalimu wa shule. Tafadhali wasiliana name kupitia namba zilizoainishwa hapa

Phone 1:

255657443855

Phone 2:

768858956

Jina (Name):

Teacher Twaha

Elimu (Qualification):

BSc in Telecom Engineering, ZU (present)

Uwezo(Skills):

Mwalimu wa Qur-an, A-level Mathematics, A-level Physics, A-level Chemistry, Basic Applied Mathematics, O-level Mathematics, O-level Physics, O-level Chemistry,

Uzoefu(Experience):

Miaka 3

Maelezo kiufupi:

Nasomesha skuli na wanaohitaji kusomeshwa nyumbani kwao masomo kama vile Mathematics, Physics na Chemistry Advance na O level. Tafadhali wasiliana nami kupitia namba zangu hapo chini

Phone 1:

0778208371

Phone 2:

0

Jina (Name):

MOH

Elimu (Qualification):

Bsc in Education, UDSM2012

Uwezo(Skills):

A-level Mathematics, A-level Chemistry, O-level Mathematics, O-level Physics, O-level Chemistry,

Uzoefu(Experience):

Miaka 5

Maelezo kiufupi:

Mobile phone, laptop repair and maintenance

Phone 1:

0717824828

Phone 2:

0

Jina (Name):

Mmalawi

Elimu (Qualification):

BSc in Information Technology with education, ZU,2018

Uwezo(Skills):

A-level Geography, A-level History, O-level Geography, O-level History, Civics,

Uzoefu(Experience):

Teaching Practices

Maelezo kiufupi:

Mimi Abdallah Haji Aly, ni kijana mwenye elimu ya ngazi ya shahada ya 'BSc in Information Technology with education, ZU,2018' ni mwalimu wa masomo ya Geography na Computer (ICT) ila pia ninaweza kusomesha masomo ya History na English kwa O-Level na A-Level. Nilmeshawahi kufanya kazi ya ualimu katika shule tofauti kama vile; 1. Chasasa Secondary School iliyopo Wete Pemba nilipokua katika mafunzo ya vitendo 'Teaching Practices' (Geography and Computer subjects) O-level. 2. Moh'd Juma Pindua Secondary School iliyopo Mkoani Pemba nilipokua katika mafunzo ya vitendo 'Teaching Practices' (Geograpy and Computer subjects) A-Level and O-level. 3. Stone Town International School iliyopo Migombani Zanzibar (English, Civics and History subjects) nikiwa kama mwalimu wa muda.

Phone 1:

0772896054

Phone 2:

620544989

Jina (Name):

Habibu Ismail

Elimu (Qualification):

Bachelor of education

Uwezo(Skills):

A-level Mathematics, O-level Mathematics, O-level Physics,

Uzoefu(Experience):

5

Maelezo kiufupi:

Kuuza mitihani na majibu yake hasa ya somo la fizikia na hesabu kwa kidato cha kwanza hadi cha nne

Phone 1:

0754552600

Phone 2:

659170353

Jina (Name):

Abuu Yahya

Elimu (Qualification):

BSc in Telecom Engineering, UDSM, 2009

Uwezo(Skills):

Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi Mifereji,

Uzoefu(Experience):

Miaka 3

Maelezo kiufupi:

Fundi vitu kama pasi, blender, computer, mifereji, na matatizo madogo ya umeme wasiliana nasi kupitia namba hapa chini..tunakufuata ulipo, bei nafuu

Phone 1:

0655063601

Phone 2:

0

Jina (Name):

Fahari Architects

Elimu (Qualification):

Diploma in Civil Engineering

Uwezo(Skills):

Fundi Ujenzi, Mchoraji ramani,

Uzoefu(Experience):

Miaka 2

Maelezo kiufupi:

House plans design and drawings, roof plans design and drawing, site survey and planning, civil engineering, supervision, bill of quantity

Phone 1:

0779133536

Phone 2:

0

Jina (Name):

Teacher Twaha

Elimu (Qualification):

BSc in Telecom Engineering, ZU (present)

Uwezo(Skills):

Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi simu, Fundi vitu vya Electronics,

Uzoefu(Experience):

Miaka 2

Maelezo kiufupi:

Natengeneza vitu kama Kompyuta (Hardware na Software), simu, pasi, majagi ya umeme, feni, house wiring, rice cooker na vyenginevyo. NIpigie whatsapp au sms kupitia namba za hapo chini nitakufuata ulipo.

Phone 1:

0778208371

Phone 2:

0

Jina (Name):

KAMAL

Elimu (Qualification):

INFORMATION TECHNOLOGY AND JOURNALISM

Uwezo(Skills):

Uzoefu(Experience):

4

Maelezo kiufupi:

Computer trouble shooting ,website designing

Phone 1:

0772850620

Phone 2:

2147483647

©2021 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English