Habari Muhimu ...timiza ndoto zako!


1. Wito usaili Ofisi ya Makamo wa Pili wa Raisi

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kwenda kuangalia majina yao katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi (Kikwajuni) kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 26 Aprili, 2018. Kwa wale ambao watabahatika kuona....

Chanzo:


Tarehe ya kutolewa: 2018-04-25

Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara 7090...Deadline: 2018-04-29 11:42:00
Share via Whatsapp

2. Wito usaili Wizara ya Fedha na Mipango

 Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia wale wote walioomba nafasi za kazi Wizara ya Fedha na Mipango - Pemba na ambao walifanya usaili wa awali tarehe 26/03/2018 kwamba wafike Skuli ya Fidel Kasro - Pemba kwa ajili ya kufanya usaili wa mara ya Pili kwa utaratibu ufuatao hapo....

Chanzo: Utumishi Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2018-04-11

Mahali pa kazi/tukio: Fidel Castro Pemba
Imetembelewa mara 4890...Deadline: 2018-04-14 08:00:00
Share via Whatsapp

3. WIto usaili Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Idara maalum

 ume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi ya Muhandisi Ujenzi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwenda kuangalia majina yao katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 12....

Chanzo: Utumishi Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2018-04-11

Mahali pa kazi/tukio: Tume ya Utumishi
Imetembelewa mara 5988...Deadline: 2018-04-17 08:00:00
Share via Whatsapp

4. ZU-University High School

OFFICE OF DEPUTY VICE CHANCELLOR (ACADEMICS) The office of the Deputy Vice Chancellor for Academic Affairs of the Zanzibar University invites applications from qualified applicants for Advanced level Studies (Form V) for 2018/19 Academic Year: -      SUBJECTS COMBINATION....

Chanzo: ZU Website


Tarehe ya kutolewa: 2018-03-14

Mahali pa kazi/tukio: ZU Mpendae
Imetembelewa mara 9078...Deadline: 2018-03-23 16:00:00
Share via Whatsapp

5. Usaili ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala bora

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala wa Bora kufika katika usaili siku ya Jumapili tarehe 11 Machi, 2017 katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu saa 2:00 asubuhi. Wasailiwa wote....

Chanzo: Utumishi Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2018-03-08

Mahali pa kazi/tukio: IPA Tunguu
Imetembelewa mara 7269...Deadline: 2018-03-11 08:00:00
Share via Whatsapp

6. Usaili ofisi ya Mamlaka ya Hifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Ofisi ya Mamlaka ya Hifadhi na Uendelezaji wa Mji Mkongwe kufika Ofisi ya Mamlaka ya Hifadhi na Uendelezaji wa Mji Mkongwe kwa ajili ya kufanyiwa usaili siku ya Jumatano ya tarehe 14 Februari, 2018 saa 2:00 za....

Chanzo: Utumishi Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2018-02-12

Mahali pa kazi/tukio: Ofisi ya Mamlaka
Imetembelewa mara 3863...Deadline: 2018-02-14 00:00:00
Share via Whatsapp

7. Zanzibar-Dar es salaam Boat and Ferry schedules and Fares

ZANZIBAR BOATS AND FERRY SCHEDULES AND FARES (RATIBA ZA BOTI/MELI ZANZIBAR) Zenjishoppazz imekuandalia utaratibu mzima wa safari za boti ambazo husafirisha abiria na mizigo baina ya Dar es salaam, Pemba, Tanga na Unguja. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa wasafiri katika maeneo hayo na hivyo....

Chanzo: Zenjishoppazz


Tarehe ya kutolewa: 2018-02-12

Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar-Dar es salaam
Imetembelewa mara 13044...Deadline: 2018-12-12 00:00:00
Share via Whatsapp

8. Matokeo Form four 2017 CSEE results

CLICK ANY LETTER BELOW TO FILTER CENTRES BY ALPHABET ALL CENTRES A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y ....

Chanzo: NECTA


Tarehe ya kutolewa: 2018-01-31

Mahali pa kazi/tukio: Tanzania
Imetembelewa mara 59211...Deadline: 2018-12-31 00:00:00
Share via Whatsapp

9. Wito usaili walioomba Ukufunzi wa muda (part time) Zanzibar-Pemba

   TANGAZO LA USAILI KWA WALIOMBA NAFASI ZA UKUFUNZI WA MUDA (PART TIME TRAINER)     Idara ya Mafunzo ya Ualimu kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) itaendesha usaili kwa walimu wote waliomba nafasi ya ukufunzi wa masomo ya Sayansi, Hisabati,....

Chanzo: MOE-Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2018-01-07

Mahali pa kazi/tukio: Pemba
Imetembelewa mara 4251...Deadline: 2018-01-10 00:00:00
Share via Whatsapp

10. Wito usaili walioomba Ukufunzi wa muda (part time) Zanzibar -Unguja

TANGAZO LA USAILI KWA WALIOMBA NAFASI ZA UKUFUNZI WA MUDA (PART TIME TRAINER)  Idara ya Mafunzo ya Ualimu kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) itaendesha usaili kwa walimu wote waliomba nafasi ya ukufunzi wa masomo ya Sayansi, Hisabati, ICT na Kiengereza chini ya....

Chanzo: MOE-Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2018-01-07

Mahali pa kazi/tukio: Unguja
Imetembelewa mara 4248...Deadline: 2018-01-10 00:00:00
Share via Whatsapp

Habari Muhimu

Zilizofanyiwa promo

No preview available
KSA Mix Special Iftar - Futari KSA mix

Imeangaliwa

2023-09-28 23:36:21
TZS Bei Maelewano
No preview available
Sport fishing boat

Imeangaliwa

2023-09-28 12:38:06
TZS 23,000,000
No preview available
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020

Imeangaliwa

2023-09-28 17:52:41
TZS 11,000
No preview available
Tiba Asilia Ya Ugonjwa wa Bawasiri (Hemorrhoids)

Imeangaliwa

2023-09-28 23:31:10
TZS Bei Maelewano
No preview available
TIBA YA NGIRI SUGU NA CHANGO KWA WANAWAKE

Imeangaliwa

2023-09-28 22:16:47
TZS Bei Maelewano
No preview available
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE

Imeangaliwa

2023-09-28 19:51:04
TZS Bei Maelewano
No preview available
TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Imeangaliwa

2023-09-28 19:42:30
TZS Bei Maelewano
No preview available
MADIRA YA MSOMALI

Imeangaliwa

2023-09-28 20:58:55
TZS 20,000

Zilizotembelewa sana

No preview available
Ramani ya nyumba vyumba vinne simple
Matembezi
166056
TZS 180,000
No preview available
Ramani (plan) ya Nyumba vyumba 4
Matembezi
160408
TZS 200,000
No preview available
Madirisha na milango ya Welding
Matembezi
113072
TZS Bei Maelewano
No preview available
Bati za rangi gauge 30
Matembezi
97283
TZS 20,000
No preview available
Tv flat screen inch 32
Matembezi
93236
TZS 380,000
No preview available
Ramani ya nyumba vyumba vitano
Matembezi
74969
TZS 230,000
No preview available
Milango ya vioo, madirisha na makabati
Matembezi
73043
TZS Bei Maelewano
Tangaza bidhaa

©2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English