Habari Muhimu ...timiza ndoto zako!
1. Kuomba Paspoti Mtandaoni-Uhamiaji
IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO KWA UMMA: IDARA YA UHAMIAJI ZANZIBAR, INAWATAARIFU KWAMBA IMEANZISHA HUDUMA YA KUJAZA MAOMBI YA PASIPOTI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KUPITIA TOVUTI YAKE; www.immigration.go.tz. HII NI HUDUMA MPYA INAYOMUWEZESHA MUOMBAJI KUJAZA FOMU HIYO....Chanzo: Uhamiaji
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 14740...Deadline: 2018-10-25 00:00:00
2. Taarifa awamu ya tatu ya udahili (TCU)
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AWAMU YA TATU YA UDAHILI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatangaza kuwa Awamu ya Pili ya Udahili wa waombaji wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tarehe 10 Oktoba....Chanzo: TCU
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-19
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 5346...Deadline: 2017-10-22 00:00:00
3. Wito usaili Mawasiliano Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Ujenzi, Usafirishaji na Mawasiliano na Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana kwenda kuangalia majina yao katika jengo la IPA liliopo Mizingani. Kwa wale watakao ona majina yao wanatakiwa....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-19
Mahali pa kazi/tukio: IPA Mizingani Imetembelewa mara 4976...Deadline: 2017-10-21 00:00:00
4. Wito usaili Utalii, Wakfu na Mali ya Amana
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana na Kamisheni ya Utalii Unguja kwenda kuangalia majina yao Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo (kikwajuni Zanzibar) kuanzia siku ya Jumatano ya tarehe 11....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-12
Mahali pa kazi/tukio: Unguja Imetembelewa mara 6157...Deadline: 2017-10-12 00:00:00
5. Admission undegraduate UDSM (DUCE,MUCE and Main Campus)
BOFYA HAPA KUPATA SELECTED APPLICANTS UDSM (MAIN CAMPUS) BOFYA HAPA KUPATA ADDITIONAL SELECTED APPLICANTS UDSM (MAIN CAMPUS) BOFYA HAPA KUPATA SELECTED APPLICANTS UDSM (DUCE) BOFYA HAPA KUPATA SELECTED APPLICANTS UDSM (MUCE)....Chanzo: UDSM
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-11
Mahali pa kazi/tukio: UDSM Imetembelewa mara 2754...Deadline: 2017-10-11 00:00:00
6. Admission undergraduate first round ZU
Please download pdf file on the download button above to get the name list....Chanzo: ZU
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-10
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Univeristy Imetembelewa mara 1115...Deadline: 2017-11-10 00:00:00
7. Admission undergraduate Muhimbili
Please download pdf file on at the download button above to get the name list....Chanzo: MUHAS
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-10
Mahali pa kazi/tukio: Dar es salamm Imetembelewa mara 1266...Deadline: 2017-10-11 00:00:00
8. Usaili wizara ya Fedha na Mipango (SMZ)
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Fedha na Mipango Unguja kufika katika usaili utakaofanyika kwa utaratibu ufuatao:- Walioomba nafasi ya kazi kwa kada ya Mtunza Kumbukumbu, Afisa Kodi, Afisa Uchumi, Afisa Sera (Sera/Mipango), Afisa....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-06
Mahali pa kazi/tukio: Unguja Imetembelewa mara 8141...Deadline: 2017-10-07 00:00:00
9. Admission undergraduate Ardhi University
Tafadhali download pdf file kwenye kitufe (button) ‘Kilichoandikwa Download pdf’ BOFYA HAPA KUANGALIA VYUO VYENGINE....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-05
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 5077...Deadline: 2017-12-05 00:00:00
10. Admission postgraduate UDSM
Tafadhali download pdf file kwenye kitufe (button) ‘Kilichoandikwa Download pdf’ BOFYA HAPA KUANGALIA VYUO VYENGINE....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-05
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 1320...Deadline: 2018-01-04 00:00:00
Habari Muhimu
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-09-28 17:52:41Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
