Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi e-Government Agency (eGA)
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/42 10th June, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the e-Government Agency (eGA), President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill sixteen (16) vacant....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-11
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 22077...Deadline: 2019-06-24 15:30:00
2. Nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Unguja na Pemba
TANGAZO LA NAFASI YA KAZITume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-Afisa Ugani Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” - PembaSifa za Waombaji:Awe ni Mzanzibari.Awe amehitimu Shahada ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-11
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 21721...Deadline: 2019-06-14 15:30:00
3. Nafasi za Kazi Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheria
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheria kama ifuatavyo:-1. Mwangalizi wa Ofisi Daraja la III “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utawala kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-06
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8425...Deadline: 2019-06-07 15:30:00
4. Nafasi za Kazi Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana kama ifuatavyo:-1. Afisa Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Daraja la II “Nafasi 1” PembaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Habari....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-06
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 10512...Deadline: 2019-06-07 15:30:00
5. Nafasi za Kazi Wizara ya Biashara na Viwanda
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Biashara na Viwanda kama ifuatavyo:-IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI: 1. Afisa Utumishi Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Utawala....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-06
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8926...Deadline: 2019-06-07 15:30:00
6. Nafasi za Kazi BRELA, TRIT, TICD, NEEC, MSCL na Ardhi University ARU
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/41 04th June, 2019 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Business Registrations and Licensing Agency (BRELA), National Economic Empowerment Council (NEEC),....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-06
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 22130...Deadline: 2019-06-18 15:30:00
7. Nafasi za Kazi Tanzania Government Flight Agency
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/37 28th May, 2019 On behalf of the Tanzania Government Flight Agency (TGFA) President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced, highly organized and self-motivated to....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-29
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 18690...Deadline: 2019-06-10 15:30:00
8. Nafasi za kazi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:-1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1”Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 21153...Deadline: 2019-05-31 15:30:00
9. Nafasi za kazi katika Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale kama ifuatavyo:-IDARA YA MIPANGO SERA NA UTAFITI1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1”Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango kutoka....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 22810...Deadline: 2019-05-31 15:30:00
10. Nafasi za kazi Shirika la Huduma za Maktaba Unguja na Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Shirika la Huduma za Maktaba Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-1. Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 1” - UngujaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 24813...Deadline: 2019-05-31 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2022-07-02 21:26:49Dawa ya asili ya moyo/moyo kutanuka/kutanuka kwa misuli ya moyo/shambulio la moyo/moyo kufeli
Imeangaliwa
2022-07-03 02:14:33Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
