Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi ya Kazi Wizara ya Fedha
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi katika Wizara ya Fedha na Mipango kama ifuatavyo:-1. Fundi Bomba Daraja la III “Nafasi 1” - PembaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu elimu ya Cheti katika fani ya Fundi Bomba kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-29
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16976...Deadline: 2019-11-01 15:00:002. Nafasi za Kazi Mamlaka ya Usafri wa Anga Tanzania (TCAA)
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/9625th October, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENTOn behalf of Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 16....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-25
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 20892...Deadline: 2019-11-07 15:30:003. Nafasi za Kazi Universal Service Access Fund (UCSAF)
PRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIATRef.No.EA.7/96/01/K/95 23rd October, 2019 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of The Universal Communications Service Access Fund (UCSAF) President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced,....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-23
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 20177...Deadline: 2019-11-05 15:30:004. Nafasi za Kazi UDSM
VACANCIESThe University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts: 1.Job Title: Laboratory Scientist III (2 posts) in the following University Units:College of Natural and....Chanzo: UDMS Website
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-21
Mahali pa kazi/tukio: UDSM Imetembelewa mara 26814...Deadline: 2019-11-29 15:30:005. Nafasi za Kazi Ifakara Health Institute
Job Summary Position: Reports to: Work station: Apply by:Assistant Demographer (1 post) Demography Coordinator/Project leader (PL) Rufiji and KibitiOctober 31, 2019 Institute overviewIfakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track record in....Chanzo: IHI Website
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-21
Mahali pa kazi/tukio: Ifakara Health Institute Imetembelewa mara 20758...Deadline: 2019-10-31 17:00:006. Nafasi za Kazi Arusha Technical College, ATC na TPRI
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/95 12nd October, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Arusha Technical College (ATC), Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Tropical Pesticides Research....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-12
Mahali pa kazi/tukio: Tanzanianzania Imetembelewa mara 18797...Deadline: 2019-10-25 15:30:007. Nafasi za kazi Wizara ya Katiba na Sheria
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi katika Wizara ya Katiba na Sheria kama ifuatavyo:-1. Mlinzi Daraja la III “Nafasi 1”Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Mafunzo ya Ulinzi kutoka JKU au JKT.Aidha, Tume ya Utumishi Serikalini....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-11
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16972...Deadline: 2019-10-18 15:30:008. Nafasi za Kazi Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo kama ifuatavyo:-1. Mkaguzi wa Vibali vya Sanaa Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria kutoka katika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-11
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 20026...Deadline: 2019-10-18 15:30:009. Nafasi za Kazi Wizara ya Biashara na Viwanda
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Biashara na Viwanda Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-1. Karani Masjala Daraja la III “Nafasi 1” UngujaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-11
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 15605...Deadline: 2019-10-18 15:30:0010. Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi ya Ualimu wa Sayansi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kama ifuatavyo:-1.WALIMU WA SHAHADA YA KWANZA SAYANSISifa za Muombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa Sayansi kwa masomo ya Chemistry,....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-10-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 19537...Deadline: 2019-10-15 15:30:00