Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Unguja na Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-IDARA YA MIPANGO SERA NA UTAFITI:1. Afisa Miradi Daraja la II “Nafasi 1” - UngujaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18938...Deadline: 2019-05-31 15:30:00
2. Nafasi za kazi katika Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale kama ifuatavyo:-IDARA YA MIPANGO SERA NA UTAFITI1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1”Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango kutoka....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 25602...Deadline: 2019-05-31 15:30:00
3. Nafasi za kazi Shirika la Huduma za Maktaba Unguja na Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Shirika la Huduma za Maktaba Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-1. Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 1” - UngujaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 27435...Deadline: 2019-05-31 15:30:00
4. Nafasi za kazi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:-1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1”Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 23361...Deadline: 2019-05-31 15:30:00
5. Nafasi za Kazi Tanzania Veterinary Laboratory Agency
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/34 16th May, 2019 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Veterinary Laboratory Agency (TVLA) and Ardhi University (ARU), President’s Office Public Service Recruitment Secretariat....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-19
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 25022...Deadline: 2019-05-30 15:30:00
6. Nafasi za Kazi REA (Re-advertised)
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/30 16th May, 2019 VACANCY ANNOUNCEMENT (RE-ADVERTISED) On behalf of the Rural Energy Agency (REA) President’s Office Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced,....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-18
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 23204...Deadline: 2019-05-30 15:30:00
7. Nafasi za Kazi MKURABITA (Re-advertised)
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI (LINARUDIWA) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa wa kujaza nafasi moja (1) ya kazi kama....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-18
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 23660...Deadline: 2019-05-30 15:30:00
8. Nafasi za Kazi Air Tanzania
VACANCY ANNOUNCEMENTAir Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet as part of implementation of its five years Corporate Strategic Plan (2017/2018-2020-2021). In line with this expansion, the Company is also making....Chanzo: Air Tanzania Web
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-13
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 18101...Deadline: 2019-06-20 15:30:00
9. Tangazo la Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi ya Ualimu wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi, Sanaa na Maabara katika Wilaya zifuatazo:-1.WALIMU WA SHAHADA YA KWANZA SAYANSI - UNGUJA (kwa masomo ya Physics, Mathematics, Chemistry na Biology) a)WILAYA YA KASKAZINI “A” - UNGUJA.Skuli ni:-....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16697...Deadline: 2019-05-15 15:30:00
10. Nafasi za Kazi Short Term Consultant - Request for Proposal and Quotation
Please paste or write the details of the announcement here....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-05-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 1410...Deadline: 2019-05-09 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
