Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi TANESCO
TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED EMPLOYMENT....Chanzo: Tanesco Web
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-15
Mahali pa kazi/tukio: Kinyerezi 2 Imetembelewa mara 8050...Deadline: 2018-03-29 16:00:00
2. Nafasi za Uwalimu Form 5 na 6 Al Sumait University
CHUO KIKUU CHA ABDULRAHMAN AL-SUMAIT (SUMAIT UNIVERSITY) TANGAZO LA KAZI YA KUFUNDISHA CHUO KIKUU CHA ABDULRAHMAN AL-SUMAIT, CHUKWANI, ZANZIBAR KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI YA UALIMU KWA MASOMO YA SAYANSI NA SANAA KWA KIDATO CHA 5-6 KWA SKULI YAKE MPYA YA SUMAIT SECONDARY....Chanzo: Sumait Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-14
Mahali pa kazi/tukio: Sumait University Imetembelewa mara 19372...Deadline: 2018-03-30 16:00:00
3. Nafasi za Kazi Maktaba kuu Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Maktaba Kuu Pemba kama ifuatavyo:- 1. Mkutubi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Stashahada ya Ukutubi kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-12
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 8357...Deadline: 2018-03-14 15:30:00
4. Training opportunities Air traffic controllers TCAA
The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) was established to regulate the civil aviation industry to ensure effective implementation of Standards and Recommended Practices (SARPs) as provided in the Annexes to the Chicago Convention on the International Civil Aviation Organization (ICAO) and....Chanzo: TCAA web
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-12
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 12402...Deadline: 2018-03-25 16:00:00
5. Nafasi za kazi Wizara ya Fedha na Mipango Pemba
ume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Fedha na Mipango – Pemba kama ifuatavyo:- 1.Karani Mapato Daraja la III “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Stashahada ya Uhasibu kutoka katika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-12
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 7399...Deadline: 2018-03-16 15:30:00
6. Nafasi za Kazi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais – Pemba kama ifuatavyo:- 1. Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Sheria kutoka....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 9219...Deadline: 2018-03-14 15:30:00
7. Nafasi za Kazi ofisi ya Tume ya Kurekebisha sheria
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheria kama ifuatavyo:- 1. Wanasheria Daraja la II “Nafasi 4” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Sheria kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12588...Deadline: 2018-03-14 15:30:00
8. Nafasi za Kazi Shirika la Biashara la Taifa ZSTC
SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC) TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) lilianzishwa mwaka 1968 chini ya Sheria Na. 1 ya mwaka 1966 Sheria ya Mashirika ya Umma, kupitia tamko la Kisheria (Legal Notice) Na. 39 ya mwaka 1968. Shirika limepewa jukumu la kusimamia....Chanzo: ZSTC Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 29846...Deadline: 2018-04-09 15:30:00
9. Nafasi za Masomo Zanzibar University
Ofisi ya mkuu wa taalum ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) Kilichoko Tunguu inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa muhula unaoanza Mwezi Mei na Septemba mwaka wa masomo wa 2018/2019 kama ifuatavyo: KOZI ZA CERTIFICATE: 1. CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION 2. CERTIFICATE IN....Chanzo: ZU Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-08
Mahali pa kazi/tukio: ZU Imetembelewa mara 14118...Deadline: 2018-03-30 16:00:00
10. Wito wa usaili ofisi ya Msajili wa Hakimiliki Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa Ofisi ya Msajili wa Hakimiliki kufika katika usaili siku ya Jumapili tarehe 11 Machi, 2017 katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu saa 2:00 asubuhi. Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi vya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-07
Mahali pa kazi/tukio: Tunguu Imetembelewa mara 7896...Deadline: 2018-03-11 08:00:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
