Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za kazi Wizara ya mifugo maliasili na uvuvi
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi kama ifuatavyo:- 1. Microbiology (Mtaalamu wa Maabara) Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-12-04
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 15910...Deadline: 2017-12-08 00:00:00
2. Nafasi za kazi LTGI, EASTEC, MUHAS, MNHA na IAA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-25
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 3745...Deadline: 2017-12-09 00:00:00
3. Nafasi za kazi wizara ya Afya Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara Afya – Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. AFISA MAABARA DARAJA LA II - Nafasi moja (1) Unguja. Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Maabara mwenye Shahada ya pili ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 6421...Deadline: 2017-11-30 00:00:00
4. Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - Pemba kama ifuatavyo:- 1. WALIMU WA SANAA NGAZI YA CHETI - Nafasi thamanini na saba (87) Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu mafunzo ya Ualimu wa Sanaa ngazi....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-19
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 6726...Deadline: 2017-11-24 00:00:00
5. Nafasi za Kazi wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara Biashara, Viwanda na Masoko - Pemba kama ifuatavyo:- 1. AFISA BIASHARA NA MASOKO MSAIDIZI - Nafasi mbili (2) Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Stashahada ya Usimamizi wa Biashara....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-19
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 8659...Deadline: 2017-11-24 00:00:00
6. Scholarships Pilot Training TCAA
TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY SPONSORSHIP FOR PILOT TRAINING ....Chanzo: TCAA web
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-15
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 6286...Deadline: 2017-12-08 00:00:00
7. Wito usaili Wizara ya kazi kwa Baraza la Vijana
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto kwa ajili ya Baraza la Vijana kufika katika Wizara ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, siku ya Jumamosi ya tarehe 04....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-01
Mahali pa kazi/tukio: Wizara ya Kazi Imetembelewa mara 6719...Deadline: 2017-11-04 00:00:00
8. Nafasi za kazi Wizara ya Fedha Muungano
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/62 ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-28
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 4277...Deadline: 2017-11-11 00:00:00
9. Nafasi za Internship Taasisi za Serikali
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Prime Minister’s Office Labour, Youth, Employment and Persons with Disability PUBLIC NOTICE INVITATION FOR APPLICATIONS TO PARTICIPATE IN THE INTERNSHIP TRAINING PROGRAMME....Chanzo: Ofisi ya Waziri Mkuu
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-26
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 7126...Deadline: 2017-10-30 00:00:00
10. Nafasi za Kazi TPDC, DIT, NACTE na TPSC
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/58 ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-26
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 11152...Deadline: 2017-11-08 00:00:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
