Huduma na ufundi

Jina (Name):

Mmalawi

Elimu (Qualification):

BSc in Information Technology with education, ZU,2018

Uwezo(Skills):

Fundi Kompyuta,

Uzoefu(Experience):

Mwaka 1

Maelezo kiufupi:

Mimi ni kijana ambae nimehitimu elimu ya ngazi ya degree chuo kikuu cha Zanzibar 'Zanzibar University' mwaka 2018. Nimesoma fani ya Teknolojia ya habari pamoja na ualimu (BSc. in Information Technology with education). Kwa sasa najishuhulisha na kazi ya utengenezaji wa website na system kwa ajili ya biasha, pia nimfanyakazi katika kampuni binafsi (SwahiliSoft Technologies Limited) iliyopo mpirani, jengo la ZIC floor namba 3 na kazi zetu kuu ni utoaji wa huduma za teknolojia ya computer(Website Design and Development) pmoja na bidhaa za kiofisi kma Doubble A Paper

Phone 1:

0772896054

Phone 2:

620544989

Jina (Name):

said rajab

Elimu (Qualification):

(eg. BSc in IT, ST JOSEPH,2016)

Uwezo(Skills):

Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Mchoraji ramani,

Uzoefu(Experience):

6

Maelezo kiufupi:

Mimi ni mwalimu wamasomo mbali mbali yanayohusiana na computer kama vile microsoft office, website designer, grahics designer,architecture designer,forex trade maintership, pia nifundi wa computer,fundi umeme,fundi wa camera ,fundi wa network,fundi wa fence za umeme

Phone 1:

0773863040

Phone 2:

0

Jina (Name):

Kenerd Mwanyelele

Elimu (Qualification):

Certificate

Uwezo(Skills):

Fundi vitu vya Electronics,

Uzoefu(Experience):

Miezi

Maelezo kiufupi:

Naujuza electronics naunda project mbalimbali kwamfano light sensor( ikifika usiku taa zina waka zenyewe) n.k na pia ni fundi wa redio, Pasi, jug za kuchemshia maji, deki, fan n.k

Phone 1:

0622288860

Phone 2:

0

Jina (Name):

Khatib Mchina

Elimu (Qualification):

Diploma In Civil engineering Karume 2015,Advance diploma In Chinese language at XCU china

Uwezo(Skills):

Fundi Ujenzi, Mchoraji ramani,

Uzoefu(Experience):

miaka4

Maelezo kiufupi:

Nazungumza lugha ya kichina hivo natoa huduma ya ukalimani na kufundisha kichina.Pia Nina ujuzi katika fani ya uhandisi kwaio anaehitaji kufanyiwa design ya jengo au usimamizi anakaribishwa.

Phone 1:

255626488282

Phone 2:

2147483647

Jina (Name):

Dr.Thaabit/Dr.Mapande

Elimu (Qualification):

Bsc.Agriculture general

Uwezo(Skills):

Seremala,

Uzoefu(Experience):

Miaka Mitano

Maelezo kiufupi:

PEPTIC ULCERS + Ni dawa asili inayotokana na mchanganyiko wa mimea asili maalumu kwaajili ya kutibu vitonda vya tumbo sugu na dalili zake kama vile??: ?? Maumivu ya Mgongo ?? Tumbo kuwaka moto ?? Gesi inayotokana na asidi ya tumboni(HCL) ?? Huua Bacteria Aina ya Helicobacter Pylori ambao ndio chanzo cha vidonda vya tumbo ?? Hujenga kuta za tumbo ambazo zimeathirika. ?? Hutibu GERD( Gastroesophageal reflux) nk Dawa hii hutibu aina zote za vidonda vya tumbo kwa asilimia 100% na ni doze ya wiki tatu tu Mpaka tatizo kuisha kabsa Biidhnillaah. Hutibu PEPTIC ULCERS, Duodenal Ulcers pamoja na Esophageal Ulcers hata kama ni ya muda mrefu kias gan. Usikate tamaa ya kupona vidonda vya tumbo kwani vidonda vya tumbo vinatibika kwa kutumia dawa hii iitwayo PEPTIC ULCERS + kwa matibabu ya uhakika na kudumu. Kwa Mahitaji ya dawa hii wasiliana ni kwa mawasiliano yafuatayo??: +255764516995 +255656198441 E-mail: thabitsayd@gmail.com Dr.Mapande Tiba asili, Tanzania.??.

Phone 1:

0764516995

Phone 2:

656198441

Jina (Name):

Zoba

Elimu (Qualification):

Form 4 kumaliza 2014

Uwezo(Skills):

Fundi pikipiki,

Uzoefu(Experience):

Miaka 5

Maelezo kiufupi:

Hamna

Phone 1:

0777757573

Phone 2:

710862436

Jina (Name):

Musa Technical Group ( M.T.G )

Elimu (Qualification):

Degree of Office Machine Maintenance ( OMM ) at DIT in 2017

Uwezo(Skills):

Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi vitu vya Electronics,

Uzoefu(Experience):

Miaka 4

Maelezo kiufupi:

Mussa Technical Group ni Wataalau wa Kutengeneza, Kuunza na ushauri juu ya Vifaa vya Maofisini kama vile :- Photocopy Machine, Computer, Printer, Scanner, Lamination Machine .etc. pia tunasafiri na kufanya kaxi popote na kila siku za wiki. Mawasiliano na maelezo. juu ya hududuma zetu, Tafadhari wasiliana nasi kupitia nambali :- +255712140975. 0694053472. Karibuni sana na M/mungu atubariki sote !

Phone 1:

0712140975

Phone 2:

694053472

Jina (Name):

FUNDI HUSSEIN MTORO

Elimu (Qualification):

MBA(BscIT)

Uwezo(Skills):

Fundi simu,

Uzoefu(Experience):

10

Maelezo kiufupi:

SISI NI MAFUNDI SIMU MAHIRI KARIBU TUKUTATULIE MATATIZO MBALI MBALI YA SIMU YAKO PIA TUNAUZA SIMU MPYA AINA TOFAUTI TOFAUTI SAMSUNG,OPPO, REDMI MI TECNO INFINIX NA VISWASWADU

Phone 1:

0655198669

Phone 2:

655198669

Jina (Name):

Dentist

Elimu (Qualification):

Form4

Uwezo(Skills):

Fundi Umeme,

Uzoefu(Experience):

Nnauzoefu wa miaka m

Maelezo kiufupi:

Fanya kazi na mimi ufaidike kwa wakati na kwa bei nafuu

Phone 1:

0673202322

Phone 2:

763771773

Jina (Name):

Eng. Abdul

Elimu (Qualification):

Diploma

Uwezo(Skills):

Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi Mifereji, Fundi vitu vya Electronics,

Uzoefu(Experience):

Miaka sita

Maelezo kiufupi:

CCTV CAMERA INSTALLATION. NETWORKING. ELECTRICAL WIRING. (FITTING ZA UMEME) FITTING ZA MAJI. COMPUTER MAINTENANCE. (UFUNDI COMPUTER)

Phone 1:

0719071351

Phone 2:

772881891

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English