Huduma na ufundi
Pakua app yetu kutoka Google play
Karibu, Hapa utaweza kupata walimu(Kama private tutors wa kusomesha majumbani), madaktari(kama vile daktari wa familia), mafundi wa aina tofauti na wafanyakazi kama vile wafanyakazi wa ndani. Wewe pia unaweza kutangaza ujuzi, kipaji chako bofya hapa
Jina (Name):
binrajab
Elimu (Qualification):
BSc in education, Suza,2017)
Uwezo(Skills):
Uzoefu(Experience):
Miaka 4
Maelezo kiufupi:
A. Alaykum tuna vitabu tunauza kwa bei nafuu. Vitabu vya maswali na majibu (review) za chemistry na mathematics ndani yake zimo mitihani ya form two ya Zanzibar. Ni kwa ajili ya form one na form two. Karibuni Sana
Phone 1:
0776581109 Phone 2:
716985187
Jina (Name):
Mwinuka Technology
Elimu (Qualification):
DIPLOMA IN ICT , ST. JOSEPH COLLEGE MORO,(2020).
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Mwinuka Technology Ni wataalamu wa kutengeneza computer , kuuza computer , Ant-virus na vifaa, kuwawezesha kuwasajili wazabuni kuandaa tender Document na kuomba tender za Serikali kupitia mfumo wa Taneps , kuinstall operating system ( window 7,8,10 & 11 ,Ubuntu na Mac os) pia naondoa Admin password na password zote zilizo sahaurika katika computer yoyote , Tunafanya Trouble shooting ya software na hardware pia Tunauza program mbalimbali za Computer.
Phone 1:
0620492533 Phone 2:
0
Jina (Name):
andika jina la umaarufu hapa fundi Omar denge
Elimu (Qualification):
Form 4 chuo ufundi mikunguni tred 2020
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
Miaka 2
Maelezo kiufupi:
Mkuu mimi ni fundi umeme nimefanya kazi za umeme nikiwa ndani ya miaka 2 nimefanya kazi ya kufiting nyumba kupiga waya ring ndani ya nyumba na kurekebisha shoti ndani ya nyumba
Phone 1:
0623629404 Phone 2:
717282043
Jina (Name):
fundi Washing machines
Elimu (Qualification):
Diploma of Electrical engineer _DIT _2012
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Mafriza na AC, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
10yrs experience
Maelezo kiufupi:
We are maintenance and repair the washing machine all types. By Home / office visit.
Our service is :
Washing machines
Air conditioning
Refrigeration
Electrical installation
Mobile
0786305579
Phone 1:
0786305579 Phone 2:
2147483647
Jina (Name):
CASHIAMZ
Elimu (Qualification):
Form 4 2009
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Welding, Fundi Kompyuta, Seremala, Fundi Mafriza na AC, Fundi Ujenzi, Mpishi, Mpakaji piko, Fundi Rangi, Mchoraji Fulana, Fundi simu, Mchoraji ramani, Fundi vitu vya Electronics, Fundi dari na gypsum bodi,
Uzoefu(Experience):
12
Maelezo kiufupi:
Mimi ni mtaalamu wa vifaa mbalimbali vya umeme Kama vile
1. kuunda generator isiyotumia mafuta
2. Kuunda umeme wa nguvu za maji kwa kutumia ndoo za
maji,
3. Kuunda Motor aina ya axial flux motor, induction motor
na aina zinginezo nyingi zinazotumia
umeme wa AC na DC kwa ajiri ya kuendeshea pikipiki,
Baiskeli, fan, Grinder, Bajaji, misumeno, gari
dogo,uselemala,Kusaga unga nk.
4. Pia naunda fan zisizotumia umeme,Blender
kubwa,Mashine za kufua nguo,Mashine ya kukatia mboga
mboga nk,
5. Naunda Switch za kuwasha taa na kifaa chochote cha
umeme kwa kupiga makofi,kuongea,Kutazama, kugusa,
kujongea( motion sensor) kupiga simu ukiwa mbali,
6. Naunda vifaa vya kukuzia muziki na menineyo mengi
7. Pia tunawezesha simu zote za Android kufanya kazi
zote za computer Kama vile, kutengeneza passport
size,Kuchora ramani,za Majengo,kuprint document,ku edit
videos,picha,kuchonga beats za nyimbo,kupiga keyboard
giter,Vinanda,kurekodi wimbo kwa kutumia beat,kuingiza
back vocal na kufanya mixing zote kwa kutumia simu,
kuipa jina simu Kisha kuita kwa jina na kuitika na mengine
mengi usiyojua kuhusu simu
Phone 1:
0612369829 Phone 2:
742029594
Jina (Name):
M.T.G IT AND DOCUMENTS SOLUTIONS.
Elimu (Qualification):
CERTIFICATE IN IT AND OMM, VETA, 2017.
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta, Fundi Mafriza na AC, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Miak 7
Maelezo kiufupi:
NAITWA MUSSA SADIKI, NI MUANZILISHI WA M.T.G IT AND DOCUMENTS SOLUTIONS. OFISI YANGU INAFANYA HUDUMA ZA UTENGENEZAJI WA COMPUTER, PTINTER, PHOTOCOPY MACHINE, CCTV CAMERA, NOTE COUNTER, N.K.
NOTE : TUMESAJILIWA NA HUDUMA ZETU TUNAFANYA KWA UBORA WA HALI YA JUU. PIA TUNAMFUATA MTEJA KOKOTE ALIKO NDANI YA TANZANIA NA NJE YA TANZANIA NA TUNATOA USHAURI BURE. (RISITI PIA TUNATOA BAADA YA HUDUMA )
Email : info@mtg.co.tz
Contact : 0627 000 176
WhatsApp NO : 0712 140 975.
KARIBUNI SANA!!
Phone 1:
0712140975 Phone 2:
627000176
Jina (Name):
Anika Mclean
Elimu (Qualification):
Soluta aspernatur co
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta, Fundi Mifereji, Seremala, Fundi Mafriza na AC, Fundi Ujenzi, Fundi pikipiki, Mpishi, Fundi vitu vya Electronics, Fundi dari na gypsum bodi,
Uzoefu(Experience):
Et consectetur illo
Maelezo kiufupi:
Porro amet dignissi
Phone 1:
0689532954 Phone 2:
1
Jina (Name):
Robindrl_studio
Elimu (Qualification):
Master in Architecture
Uwezo(Skills):
Fundi Ujenzi, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
3yrs
Maelezo kiufupi:
Kwa mahitaji ya ramani za nyumba na ujenzi wa ramani ya jengo lolote wasiliana nasi Architects (robindrl_studio),+255687007159,mbezi kinzudi salasala.
Phone 1:
0687007159 Phone 2:
687007159
Aina
Bidhaa zetu
Tembelea pia
Zilizotembelewa sana
Chuja kwa Brands
